Listen to Nitainua Macho Yangu (feat. Sifa Voices) by Reuben Kigame

Nitainua Macho Yangu (feat. Sifa Voices)

Reuben Kigame

Christian & Gospel

2,597 Shazams

Lyrics

Nitayainua Macho Yangu Nitazame milima msaada wangu baba utatoka wapi msaada wangu katika bwana mbingu na nchi ni zake, asiuache mguu wako usogezwe Hatasinzia hatalala yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu Nitayainua Macho Yangu Nitazame milima msaada wangu baba utatoka wapi msaada wangu katika bwana mbingu na nchi ni zake, asiuache mguu wako usogezwe Hatasinzia hatalala yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu Maisha haya nayakabidhi kwako Mola wangu eeeh, Maisha yangu duniani yatawale wewe peke yako usinitupe Sifa na utukufu eeeh yatawale wewe peke yako eeeh baba; Nitayainua Macho Yangu Nitazame milima msaada wangu baba utatoka wapi msaada wangu katika bwana mbingu na nchi ni zake asiuache mguu wako usogezwe Hatasinzia hatalala yeye mlinzi wangu Atanilinda na mabaya yote na nafsi yangu ×2 2; Kama leo nikifa kila mtu atanisifu kwa lake, Ametutoka msanii wetu tuliyempenda, Eti pengo la Kanumba ataliziba Nani eeeh... Hata hao wanaonichukia watabeba jeneza langu kwa nyimbo na Sala za huzuni eeeh Wenzangu leo niko hai twachukiana sana Usoni twacheka Moyoni ni vita vikali eeeh Tuambiane tusameheane tuishi kwa Amani upendo, Furaha yetu hadi mbinguni furaha ile ya milele eeeh (Kanumba Talking) Eeeh Mola mimi masikini mnyonge mmoja, kupigana na jeshi la watu 1000 simuwezi hata mmoja... 3; Tusiposameheana tutasameheana lini, tukishakufa eeeh; Nitayainua Macho Yangu Nitazame milima msaada wangu baba utatoka wapi msaada wangu katika bwana mbingu na nchi ni zake asiuache mguu wako usogezwe Hatasinzia hatalala yeye mlinzi wangu Atanilinda na mabaya yote na nafsi yangu Sema na moyo wangu baba sema na maisha yangu kanumba eeeh Nitaridhika mimi masikini siwezi pigana weee...; Nitayainua Macho Yangu Nitazame milima, Msaada wangu baba utatoka wapi msaada wangu katika bwana mbingu na nchi ni zake asiuache mguu wako usogezwe Hatasinzia hatalala yeye mlinzi wangu Atanilinda mabaya yote na nafsi yangu ×2
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out