Lyrics

Dunia yote yashangilia Yesu hayuko kaburini tena Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai (sema) Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai (imbeni wadada) Juu mtini Ela elai (ela elai) Kilio chake kwa ajili yetu Mimi nawe Uchungu mwingi Alipitia (alipitia) Kuteswa kwake kwa ajili yetu Mimi nawe Dunia ni shangwe (ni shangwe) Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai Taji ya miiba Alivalishwa (alivalishwa) Kuteswa kwake kwa ajili yetu Mimi nawe (aliumia) Ubavu wake Kachomwa mkuki (aliumizwa) Uchungu wake kwa ajili yetu Mimi nawe Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai Alilazwa kaburini Kifo chake kwa ajili yetu Mimi nawe Siku ya tatu Akafufuka Ushindi wake kwa ajili yetu Mimi nawe Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai Dunia ni shangwe Yesu kafufuka Mauti kashindwa Bwana Yesu yuko hai
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out