Lyrics
Nilikuta bibi wa kwanza Nairobi, akanipenda na mm kampenda
Nikamuuliza kama ana bwana
Akanijibu sina hata mpenzi
Tukaenda nae mpaka kwake shauri moyo kwa nyumba za Tombaku
Nlipolala kasikia hodihodi fungueni
Ni mimi mwenye nyumba
Bibi alileta aibu sanasana
Mpaka mimi na yule bwana
Tungepigana mimi na yule bwana
Tuumizane wewe ungefanyaje
Lyrics powered by www.musixmatch.com