Lyrics

Mimi Yesu nimemtuma malaika kushuhudua Maneno yale ya unabii yalionenwa na Yohana, Mimi Yesu nimemtuma malaika kushuhudua Maneno yale ya unabii yalionenwa na Yohana, Aaah natazama, (naja upesi) oooh na ujira (na ujira) oooh wakumlipa (Kila mtu) na kazi yake (na kazi yake) mimi mimi(mimi mimi) oooh ni Ya Alphha(ni Alpha) oooh na Omega (Na Omega) asema bwana (asema bwana). Aaah natazama, (naja upesi) oooh na ujira (na ujira) oooh wakumlipa (Kila mtu) na kazi yake (na kazi yake) mimi mimi(mimi mimi) oooh ni Ya Alphha(ni Alpha) oooh na Omega (Na Omega) asema bwana (asema bwana) Naja upesi, shika sana ulicho nacho, usinyanganywe Naja upesi, shika sana ulicho nacho, usinyanganywe Nasi tuimbe (si tuimbe) tumtukuze (Tumtukuze) aliyekuja (aliyekuja) kutukomboa, Nasi tuimbe (si tuimbe) tumtukuze (Tumtukuze) aliyekuja (aliyekuja) kutukomboa, Naja upesi, shika sana ulicho nacho, usinyanganywe Naja upesi, shika sana ulicho nacho, usinyanganywe Nasi tuimbe (si tuimbe) tumtukuze (Tumtukuze) aliyekuja (aliyekuja) kutukomboa, Nasi tuimbe (si tuimbe) tumtukuze (Tumtukuze) aliyekuja (aliyekuja) kutukomboa, Na Yohana alikwenda kushuhudia, mambo hayo Alipofika nakuyaona aliamu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out