Music Video

Young Lunya - Noma (Official Audio) ft. Marioo
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Young Lunya
Young Lunya
Performer
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Salmin Kasimu Maengo
Salmin Kasimu Maengo
Composer

Lyrics

Na wenyewe wanajua Kile kinachofuata wakileta utata Dada zao wanajua Wakilaga kwetu kinachowapata Na wenyewe wanajua Kile kinachofata Ndugu zao washajua Kuwa haya ni madongo Madongo madongo Oya noma Oya noma Oya noma Oya noma Oya noma Oya noma Mtaani wananiita mbuzi Kisa maunyama Oya noma Baada ya bata Kaomba laki nilichowafanya Oya noma Tako ni nyingi akaona Giza la usiku mchana Juice kama vile samecana French kama vile montana Ooops, bango likitokeza Watoto nachange vikao Sitaki uniite farao Net sababu ya mwanangu Faraoh pappy Wakidondoka ni kweli Hawaondokagi tunaangusha Nao Skhuuuh Nakushangaza eeeh mbona Sifanani na alama ya mshangao Hapo vipi hapo hapo Sawa kama unavyoona Tunapoa si wenyewe Mambo chawa ni kama nilikupa Full dose haijakuingia sawa Sie tuko busy kureset mipango Man, respect power Na wenyewe wanajua Kile kinachofuata wakileta utata Dada zao wanajua Wakilaga kwetu kinachowapata Na wenyewe wanajua Kile kinachofata Ndugu zao washajua Kuwa haya ni madogo Madogo matata Oya noma Oya noma Oya noma Oya noma Oya noma Oya noma Mambo ya kasheshe Mi sala mi sijui Ukicheza na moto Kinachofata mi sijui Mambo ya kasheshe Mi sala mi sijui Ila ukicheza na moto Kinachofata mi sijui Eti wananiita bwana shamba farmer Mboga ni nyingi zimenizoea Kiasi kwamba sizifungi hata kamba Nafasi ni chache ndo maana wengine Unawaona wanapiga misamba misamba Tukijipata na pesa tulizozitafuta Wanatuita washamba Na bado sijaplug na video za viwanja Nashangaa mpo Kasheshe misala mi sijui Usije ukaleta mbwebwe Nakukalisha asubuhi That's why unaona tulivyotakata Tunaogea na asali mixture tui Huu siwezi ita uadui Sababu unanijua mi sikujui Yes Na wenyewe wanajua Kile kinachofuata wakileta utata Dada zao wanajua Wakilaga kwetu kinachowapata Na wenyewe wanajua Kile kinachofata Ndugu zao washajua Kuwa haya ni madongo Madongo madongo Oya noma Oya noma Oya noma Oya noma Oya noma Oya noma
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out