Listen to Yule (Remix) [feat. Marioo] by Ay Masta

Yule (Remix) [feat. Marioo]

Ay Masta

Afro-Beat

67,138 Shazams

Lyrics

Huu pata apo, ayé yé, yé Kutoka kwa A.y Eti nani ana namba yake hapa kuna teni limezagaazagaa Nani anapajua kwake oya hapa kuna teni linazagaazagaa Umbo lake pale yanga anavaa aucho (namba nane) Kifuani kila saa anatembea na masaa (saa sita) Moyoni mwangu huyu mama, nimepa diarra (namba moja) Kiukweli nimempenda, ila ndo sijui nifanyeje patamu hapo Kwenye mashavu yake ana tushimo oh, huku na huku Kajaliwa sura kajaliwa na shape mashaallah huku na huku Nimechoka kumuota, usiku naweweseka ah Someboy mwambie mi mwenzake nampenda wallahi (yule) Nampenda sana jinsi alivyo (yule) Nampenda sana jinsi alivyo simple (yule) Nampenda jinsi alivyo Nitafanyaje patamu hapo (yule) Nampenda sana jinsi alivyo (yule) Nampenda sana jinsi alivyo simple (yule) Nampenda jinsi alivyo Nitafanyaje patamu hapo (yule) Mmmh nitafanyaje (patamu hapo) Wahuni nitafanyaje (patamu hapo) Oh nitafanyaje (patamu hapo) Ouh no, no, no (patamu hapo) Anavyo tabasamu ndo anavyonipa hamu Sura na umbo lake basi lanipa wazimu Nataka kumfuata (nahisi atakataa) Naogopa akinimwaga stori itazagaa Umbo lake pale Yanga anavaa aucho (namba nane) Kifuani kila saa anatembea na masaa (saa sita) Moyoni mwangu huyu mama nimepa diarra (ah, ah) Kiukweli nimempenda, ila ndo sijui nifanyeje (patamu hapo) Yule (anayesumbua akili yangu) Yule (anayeumiza moyo wangu) Najua faamu, najua faamu Moyoni mi ntakufa na mawazo Lakini kumwambia ndo siwezi mimi Nampenda sana jinsi alivyo (yule) Nampenda sana jinsi alivyo simple (yule) Nampenda jinsi alivyo Nitafanyaje patamu hapo (yule) Nampenda sana jinsi alivyo (yule) Nampenda sana jinsi alivyo simple (yule) Nampenda jinsi alivyo Nitafanyaje (patamu hapo) Mmmh nitafanyaje (patamu hapo) Wahuni nitafanyaje (patamu hapo) Oh nitafanyaje (patamu hapo) Ouh no, no, no (patamu hapo)
Writer(s): Ambwene Allen Yessayah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out