Lyrics

Kimamba on the baet Kuna kuvaa na kustiri mwili Kuna kuishi na kuishia we Kuna kula na kujaza utumbo Hii yote ni dunia oohh Unaogopa kuzama kwenye mapenzi Unazama baharini unakufa Unaogopa kuchepuka unabaki njia kuu Lorry linapita unakufa Unaogopa kushikwa shikwa na mimi Ukishikwa na corona unakufa Unaogopa kusema yanayo kusibu unayaficha moyoni unakufa Dunia mwana Oohh dunia oohh Dunia wewe Ooh dunia Duniani Duniani baba Mama alinifunza utu uzima ni uungwana Mtaka cha uvunguni sharti kuinama Mtaka cha kilele sharti kusimama Leo mi najionea Unaempenda ajakupenda wewe Anaekupenda hujampenda wewe Mapenzi kichaka hayana ajenda Waaminifu wengi wamekwenda Dunia mwana Oohh dunia oohh Dunia wewe Ooh dunia Duniani Duniani baba Mwanangu hutaki kazi unategemea madanga ukipata maradhi unakufa Kaka unaleta mzaha kwenye mchezo wa ngumi unapigwa mchomoko unakufa Dunia oohh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out