Music Video

Hanstone - Nimechoka (Official Audio)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Hanstone
Hanstone
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hassan Shaban
Hassan Shaban
Songwriter

Lyrics

Pararara, pararara Mafeeling make it Hivi ndo tuseme haoni Ama hajui anachonifanyia sio sawa Mmmh yaani kama mate simkauki mdomoni Kwake nimekuwa adui alafu aniombee mabaya Oooh anaumiza moyo wangu mama Anaitesa akili yangu sana Anacheza na hisia zangu jamaa Nimechoka manyanyaso na penzi langu maana Namfumania nasamehe Ooh namrudia twendelee Si bora angeniambia niwache Kama kampata mwingine waendelee Mmmh naonekana chizi wa mapenzi Nilijulikana kwako sijiwezi Nishadira bana Mwenyezi Ndo anayejua Nikisema sana nitalia siwezi Yamenichosha mapenzi Usiku mzito nautua siwezi Jamaa nimechoka Nimechoka, nimechoka Nimechoka, nimechoka Labda tuseme ni utoto Hajakuwa nao Ama ujana maji ya moto Ndo anaugua ooh Kwa visa visa changamoto Penzi akaliua ooh Na kutazama kulia na kushoto Ajali ya moyo kanibutua ooh Sa kwanini nilimpa moyo Kwa nini anione kolo? Kwa nini nauliza aah Oh juu mpaka chini akaubwaga moyo Nimwamini leo mpaka tomorrow Sa kwa nini anione poyoyo mama Namfumania nasamehe Ooh namrudia twendelee Si bora angeniambia niwache Kama kampata mwingine waendelee Mmmh naonekana chizi wa mapenzi Nilijulikana kwako sijiwezi Nishadira bana Mwenyezi Ndo anayejua Nikisema sana nitalia siwezi Yamenichosha mapenzi Usiku mzito nautua siwezi Jamaa nimechoka Nimechoka, nimechoka Nimechoka, nimechoka
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out