Lyrics

- Young Lunya S2Kizzy nipe sauti kidogo, yeah hapo hapo - Young Lunya Represent word "peace" since nimeanza kuchana Words Clais akaniambia unaweza kufanya Just fuck your day dreams and focus on night ones Na nnachohitaji ni pesa iwe Rand ama Nairas So namove fast like AK 47 nne saba Fanya yote ila usisahau kupray, muombe yeye, Mungu baba And i'm motherfucking paper chaser maana Mambo mbaya, usawa unakaba Stimu zote zimevurugika kama kichwa kina bapa kama saba hivi Flow safi sana na zimeshabarikiwa (yeah) Usiforce beef maana tumeshachanganyikiwa (yeah) Kiroho safi kama unyama hapa unyamani pia (yeah) Yaani kama gari hapa limeshachanganya gia (yeah) Yeah we killing 'em kila beat eey ili mambo eey yote yawe byee Tangu nisign dili SMG hakuna tena free tushapanda bei Ndo maana siku hizi nimepata akili simu isiyo na deal huwaga sipokei Na tunang'aa na we keep it flex japo hatutokei Oysterbay, Masaki - Young Lunya Maswala ya kunicompare sitaki Habari zenu za umbea sitaki Mademu zenu wa kushare sitaki Yeah sta sta sta sta sitaki Mi ni sta sta sta sta sitaki Yeah sta sta sta sta sitaki - Salmin Swaggz Unaweza kusema nimepotea, stimu Zapaa kila saa nikipokea simu Social media wanacompare team Wanacompare simu, hela benki adimu Walisema muda haujafika so I waited. Mpaka niwe Grammy nomited. Wana wa madeni usiniletee Hatuna deni we nilipe nisepe So vuta shuka nshasanuka kishanuka, mdalasini Wameshtuka wanapepesuka, we unaijua mizuka? You know what I meanie Ni superduper so kila chupa nachafu maduka kama day routine Utanikuta kwenye bulletin, girl you never pull a bullet in (huh) So what now mi ni Black Jesus Nabadilisha wanao wanakua believers Hatuwezi kuacha mziki this baby needs us Kitaa chao tushakua ma-leaders, so - Young Lunya Maswala ya kunicompare sitaki Habari zenu za umbea sitaki Mademu zenu wa kushare sitaki Yeah sta sta sta sta sitaki Mi ni sta sta sta sta sitaki Yeah sta sta sta sta sitaki - Con Boi My name Con, Gambino All my niggas call me Cannabino Most of girls from different places sijui Manzese, 104, Kino Wananiita Bino The realest kid from the black dawg you know what it is I'm a hustla homie kwetu ugali gundi Sio mtoto wa mama kwenu wali ndizzz I'm chasing money, I'm getting dow My own paper we unapewa bro Tuko tofauti tena sana maana we unauza sura mi nauza flow We don't play games, we don't play play Tutakubang bang hatutaki usenge Huwezi game kaa tu pembeni kama hauniwezi kauze genge Wanakubeba halafu haubebeki ngoja wakushushe ukajibebe Unachokiweza ni usharobaro na usharouharo beibe-beibe Cannabino - Young Lunya Maswala ya kunicompare sitaki Habari zenu za umbea sitaki Mademu zenu wa kushare sitaki Yeah sta sta sta sta sitaki Mi ni sta sta sta sta sitaki Yeah sta sta sta sta sitaki
Writer(s): Salim Kassim Maengo, Lunya, Salmin Swaggz, Con Boi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out