Lyrics

Love me the way that you do baby We got a long way to go Maneno yao sumu usisikiize Uuuh yanaumiza roho I know you love me, love me, love me Love me, love me baby (me know dat) You know I need you, need you, need you Uuuuh Watasema sanaaa na kisha watalala Kama kunipenda najua unanipenda sana Watasema sanaaa baby Na kisha watalalaaa darling Wakina nanii sijui wakina nanii Usiwaskiize, wote ni mashwaini mamii Kina nanii wana chuki na mi Usiwaskiize, baby girl baki na mi huh Ba ba baki na mi hata wakitalk talk You listen to me Con Boi it's all that you see Acha waongee usiku watasleep So acha waonge donge, my baby oh aah Ya kwetu si yasonge, milele oh aah 'Cause I know that you need me girl You wanna be with me girl I know that you love me girl And I love you mi love long time ooh ah so Watasema sanaaa na kisha watalala Kama kunipenda najua unanipenda sana Watasema sanaaa baby Na kisha watalalaaa darling Me I'm in love witchu girl Me I'm in love witchu girl, woowoh Me I'm in love witchu girl Me I'm in love witchu girl, woowoh I fell in love, I fell in love I fell in love, I fell in love So unajua sometimes Sina pesa ila ukiniona nimetuna Mama zao nawakwepa wana ngoma itanitafuna Kidogo mbona sunnah wakituona wananuna Na jinsi unavyonikuna ukinichunia Watasema sana na mwisho watalala Usiondoke wataja kuniita majalala Utawapa hata sababu ya kuanzisha mijadala Nnavyokupenda yani mpaka najiona fala Watasema sanaaa na kisha watalala Kama kunipenda najua unanipenda sana Watasema sanaaa baby Na kisha watalalaaa darling Watasema sana Unanipenda sana Watasema sana Unanipenda sana
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out