Lyrics

Mimi nasafiri ooh Mimi nasafiri Duniani napita Naelekea juu mbinguni Kwa baba yetu huko Naelekea juu mbinguni Kwenye makao ya milele Naelekea juu mbinguni Kwa Baba yetu huko Mbinguni juu kwa Baba Mbinguni juu kwa Baba Mbinguni juu-uu kwa Baba-aa Bwana kweli Mimi nasafiri ooh Mimi Bwana kweli nasafiri Mimi Bwana kweli nasafiri ooh Mimi Bwana kweli nasafiri ooh Dunia ninapita Wenyeji wangu kwako Dunia ninapita Wenyeji wangu kwako Bwana eeh Nishike mkono Bwana wangu Yesu eeh Nishike mkono Bwana wangu Yesu eeh Nishike mkono Bwana wangu Yesu eeh Nishike mkono Bwana wangu Yesu eeh Dunia matatizo Dunia shida nyingi eeh Dunia dhiki magonjwa Dunia vifo vingi Dunia matatizo Dunia shida nyingi eeh Dunia dhiki magonjwa Dunia vifo vingi eeh Bwana eeh Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji Kweli Bwana Yesu mimi muhitaji Mimi Bwana kweli muhitaji Nahitaji upendo wako Nahitaji baraka zako Nahitaji miujiza Nahitaji rehema zako Nahitaji neema zako Nahitaji upendo wako Nahitaji baraka zako Nahitaji miujiza Bwana eeh Kweli Bwana mimi muhitaji eeh Mimi Bwana Yesu kweli muhitaji eeh Mimi Bwana kweli muhitaji eeh Mimi Bwana kweli muhitaji eeh Nahitaji uweza wako Bila wewe Yesu mimi siwezi eeh (Mimi siwezi) Bila we ya dunia yanizungukapo (Mimi siwezi) Kukabiliwa nayo magonjwa (Mimi siwezi) Ninapo ona shida katika maisha (Mimi siwezi) Bila wewe Yesu mimi siwezi (Mimi siwezi) Bila wewe Yesu mimi siwezi (Mimi siwezi) Bila wewe Yesu mimi siwezi (Mimi siwezi) Matatizo ya dunia yanizungukapo (Mimi siwezi) Ninapoona hili gonjwa la UKIMWI (Mimi siwezi) Bila wewe Yesu mimi siwezi (Mimi siwezi) Bila wewe Yesu mimi siwezi (Mimi siwezi) Nikiwa nawe Yesu mimi n'tashinda (Mimi n'tashinda) Yale ya dunia Mimi n'tashinda (Mimi n'tashinda) Nikiwa nawe Yesu mimi n'tashinda (Mimi n'tashinda) Yale ya dunia Mimi n'tashinda (Mimi n'tashinda)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out