Lyrics

Nina haja nawe Kila saa Hawezi mwingine, kunifaa Nina haja nawe Kaa nami Na maonjo haya Hayaumi Yesu Nakuhitaji Vivyo kila saa Niwezeshe, Mwokozi, nakujia. Yesu Nakuhitaji Vivyo kila saa Niwezeshe, Mwokozi, nakujia Nina haja nawe; Kila hali Maisha ni bure Uli mbali Nina haja nawe; nifundishe Na ahadi zako Zifikishe Yesu Nakuhitaji Vivyo kila saa Niwezeshe Mwokozi, Nakujia Yesu Nakuhitaji Vivyo kila saa Niwezeshe, Mwokozi, nakujia Nina haja nawe Mweza yote Ni wako kabisa, Siku zote Nina haja nawe; Mweza yote Ni wako kabisa, Siku zote Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa Niwezeshe, Mwokozi, nakujia Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa Niwezeshe, Mwokozi, nakujia Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa Niwezeshe, Mwokozi, nakujia Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa Niwezeshe, Mwokozi, nakujia Niwezeshe, niwezeshe baba Niwezeshe, niwezeshe baba Niwezeshe, niwezeshe baba Niwezeshe, niwezeshe baba
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out