Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Gabriel Omollo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gabriel Omollo
Songwriter
Lyrics
Sasa ni lunchtime
Tufunge makazi
Twende kwa chakula
Tuje tena saa nane
Wengine wanakwenda kulala uwanjani
Kumbe ni shida ndugu
Njaa inamuumiza
Wengine wanakunya soda na keki
Huku roho yote kwa chapati na ng'ombe
Na wengine nao wazunguka maduka
Huku wakijidai wanafanya window shopping
(Lunchtime)
Kufiikamwisho wa mwezi
Uwanja tire mundu
Ukipata anaye lala ni asiye na kazi
Wamekwenda wote kula hotelini
Wengine kwa biriani
Wengine kuku na wali
Watu wa Industrial Area watoroka maharagwe
Waenda hotelini
Kwa chapati na ngombe
Na wengine nao wale mishahara juu
Siku hiyo wote kwa hoteli za wazungu
Kumbe shida ndiyo hufanya
Mtu kulala chini ya miti
Kumbe shida ndiyo hufanya
Mtu kungangana na maharagwe
Kumbe shida ndiyo hufanya
Mtu kuonekana kama mtoto
Nimeelewa ee nimeelewa oh
Nimejua kumbe ni shida oh
Nimeelewa ee nimeelewa oh
Nimejua kumbe ni shida oh
Twanga ngoma
Mtu kulala chini ya miti
Kumbe shida ndiyo hufanya
Mtu kungangana na maharagwe
Kumbe shida ndiyo hufanya
Mtu kuonekana kama mtoto
Nimeelewa ee nimeelewa oh
Nimejua kumbe ni shida oh
Nimeelewa ee nimeelewa oh
Nimejua kumbe ni shida oh
Writer(s): Omolo
Lyrics powered by www.musixmatch.com