Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zee Cute
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamadai
Songwriter
Zaina Haji Mchombora
Songwriter
Hizam Hashim Hemedi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
O.Righty
Producer
Lyrics
The Mafik
Nikikuona moyo wangu gojogojo, Nahisi kupona oooh nachojoa chojooo
Sitaki konakona nakusubiri jojo,
Ohh baby shona shona shindilia mdoogo mdoogo.
Nahisi naibiwaaaa oooh nooo hawana ujanja,
Nachanganyikiwaaa baby slow slow safisha uwanja
Nikumbate nipate joto joto, mwaga mbolea tupate katoto
Gusa babaaaa, aaoh Yamoto aaah aah kimokoo.
Nimekusikia ooh mama watoto,
nakanyagia miksa prokoto nyonga mamaaaa ya motooo aaah kimoko
What a time now, nakujaaaa
Mbona hutokeiiii, nakujaaaa
Nimechoka kusubiriii, nakujaaa
Mbona usogeiiiii, nakujaaaa
Wanauliza nimekupendea nini,Baby Tumeshibana yani shoka na mpinii baby
Vile unavosindika naridhika, Homa inapoa
Gesi inatiririka miminika nishatangaza ndoaaa
Nikumbate nipate joto joto, mwaga mbolea tupate katoto
Gusa babaaaa, aaoh Yamoto aaah aah kimokoo.
Nimekusikia ooh mama watoto,
nakanyagia miksa prokoto nyonga mamaaaa ya motooo aaah kimoko
What a time now, nakujaaaa
Mbona hutokeiiii, nakujaaaa
Nimechoka kusubiriii, nakujaaa aaah
Mbona usogeiiiii, nakujaaaa
Lyrics powered by www.musixmatch.com