Lyrics

(Jacko baby) Hatuachani ng'o Mimi na yeye Nampenda ananipenda Na ye' ndio Panadol Kutwa mara tatu Mwenzenu mi' napendwa Wape taarifa zao, (aah) Upendo wetu sio wa mitandao, (aah) Sio shida zetu, shida zao, (aah) Wachonge viti wakae vikao Hatuachani kamwe (Ng'o, ng'o, ng'o) Mmh (Ng'o, ng'o, ng'o) Mmh (Ng'o ng'o ng'o) Hatuachani kamwe (Ng'o, ng'o, ng'o) Mmh (Ng'o, ng'o, ng'o) Mmh Ng'o, ng'o, ng'o Moyo umeujaza nafasi Wengine siti hawapati Ma photo, photo snapchat, yeah Pendo la tembelea chaki Penzi mashallah halina mfano Liko nga, nga, nga kamili gado Ndio kwanza naenjoy huba lako So tuliza boli mi' ni wako Wape taarifa zao, (aah) Upendo wetu sio wa mitandao, (aah) Sio shida zetu, shida zao, (aah) Wachonge viti wakae vikao Hatuachani kamwe (Ng'o, ng'o, ng'o) Mmh (Ng'o ng'o ng'o) Mmh (Ng'o, ng'o, ng'o) Hatuachani kamwe (Ng'o ng'o ng'o) Mmh (Ng'o ng'o ng'o) Mmh Ng'o, ng'o, ng'o
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out