Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Joefes
Joefes
Performer
Mr Tee
Mr Tee
Performer
Lil Maina
Lil Maina
Performer
Fathermoh
Fathermoh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Nyamweya
Joseph Nyamweya
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Eyoh Clamer
Eyoh Clamer
Producer

Lyrics

Tumeona Wengi by Joefes ft. Mr Tee, Lil Maina, Fathermoh Tumeona wengi wakianza wakichinjiana Sai wamekosana wanapost wezi rudiana Mtandao si friendly Wako live wakianikana Sai Wanajifanya tunajua wanamissiana Ati sasa hanipendi Ati amecancel zile plan za wikendi Vile ninawonder josh alipata kendy Kijana sina kitu na anataka nishike fendy Tuende photoshoot cbd alafu trending Aaah aaah hii relation balaa Anataka dollar na nimelala mala Msichana stunner na nywele sijachana Na sasa tumeachana juu jana nilichoma Kwa live flani sikujua hapendi chali na majani Na sikujua anapenda chali akiwa na gari Na saa nimejua flag nyekundu ni hatari Alinitoka na sikukua na habari Tumeona wengi wakianza wakichinjiana Sai wamekosana wanapost wezi rudiana Mtandao si friendly Wako live wakianikana Sai Wanajifanya tunajua wanamissiana Si tuko live tunaanikana lakini pale kitandani tunatandikana Cheki, ye ako physically fit Niko lyrically sweet Buda niko Ill nilimuacha akiheal Msupa amebeba mabidhaa Buda tunachonga tunatema magidhaa Mrembo amekuja analia ako isaaa Msupa mi sina mi sipendi kuringa Manzi ameiva ni wa Filipino Tumbo ka inauma basi meza ino Manzi ananyesha na si Elnino Na buda tunazoza na maAlbino Tumeona wengi wakianza wakichinjiana Sai wamekosana wanapost wezi rudiana Mtandao si friendly Wako live wakianikana Sai Wanajifanya tunajua wanamissiana Hata saa zile sidanganyi wasema mi nadanganya Mschana mrembo lakini tabia mbaya Nikisema nakuacha hakuna kitu mi nitafanya Kwani ni mara ngapi utashinda umenikanya Ati nahanya unanitukana kuchukua vitu ndo sasa twarudiana Mara Tiana sijui Rihana unaskizaje na maskio zako ushazibana Started with a friendly sai tuko bnb Mambo yetu toxic I swear it's never ending Sina hata plan B mambo yako crazy Lakini narudi kwako kila saa kama mshenzi Tumeona wengi wakianza wakichinjiana Sai wamekosana wanapost wezi rudiana Mtandao si friendly Wako live wakianikana Sai Wanajifanya tunajua wanamissiana Team gwedhe tunashinda na side mirror Huku tunapimana upishi wa Chapo sio sura Huku unapigishwa ndeng'a inatolewa na makucha Huku mapoko hawasimami pongi unaipata kwa duka Hii nyama imebaki tu mafuta design mbona nikiita Ukikosa kuitika nasema niko Tei imezidi sita niko madimba Ni tumbo zinafurishwa Hapa Furaha ni nipe nikupe Tei itushike zishike Napenda sistako usijam Niko na wangu pia siste Nipe nikupe Tei itushike zishike Tuko njiani jaba akitemewa cost ajipe Tumeona wengi wakianza wakichinjiana Sai wamekosana wanapost wezi rudiana Mtandao si friendly Wako live wakianikana Sai Wanajifanya tunajua wanamissiana
Writer(s): Joseph Nyamweya, Moses Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out