Lyrics

Hello sister, samahani nimekuita Kaja kwa upole huku anasita sita Mkononi ana macho matatu, oh Labda alisita kwa vile aliniona mchafu Mi ndo yule nilikuona TikTok Mi ndo yule nilikuomba namba ya WhatsApp Mi ndo yule nilikuona Facebook Mi ndo yule nilikuomba namba ya WhatsApp We dada, mi ndo yule ukipost na comment makopa Ulie niomba vocha nikaforce nikutumie Niliekutumia meseji ukasema nikaushie wewe Wewe dada, mi ndo yule ukipost picha Na comment makopa, ndio mie Ulie niomba vocha nikaforce nikutumie Niliekutumia meseji ukasema nikaushie wewe Wewe, mi ndo yule ukipost picha Na comment makopa, ndio mie Mi ndo yule namba yako ulinipa kwa masharti Mchana nisipige, usiku hutaki tuchati Mi ndo yule unanijibu meseji moja basi Samahani we mkaka, usumbufu sitaki Mi ndo yule mchizi muimba mapenzi Unaenipa kipindi kuwa na mimi huwezi Mi ndo yule fukara nisie na hela Wala biashara, wala pakulala Mi ndo yule, mi ndo yule Mi ndo yule, mi ndo yule Mi ndo yule, mi ndo yule Hunikumbuki, mi ndo yule Mi ndo yule haipiti siku lazima nikucheki Mi ndo yule uliniombaga laki moja ya keki Mi ndo yule kwenye party yako niliishia getini Mi ndo yule Mi ndo yule ulioniuliza natumia simu gani Mi ndo yule nilokujibu namiliki ki iPhone Mi ndo yule uloniuliza iPhone ya aina gani Mi ndo gafla nikakujibu ki Itel, jamani Mi ndo yule namba yako ulinipa kwa masharti Mchana nisipige, usiku hutaki tuchati Mi ndo yule unanijibu meseji moja basi Samahani we mkaka, usumbufu sitaki Mi ndo yule mchizi muimba mapenzi Unaenipa kipindi kuwa na mimi huwezi Mi ndo yule fukara nisie na hela Wala biashara, wala pakulala Mi ndo yule, mi ndo yule Mi ndo yule, mi ndo yule Mi ndo yule, mi ndo yule Hunikumbuki, mi ndo yule Ah, Vitamin Music Forever Mi ndo yule, mi ndo yule Mi ndo yule, mi ndo yule Msomali, Vitamin Singeli
Writer(s): Riphati Jumanne Omary Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out