Listen to News (feat. Marioo) by Darassa

News (feat. Marioo)

Darassa

Afro-Pop

14,184 Shazams

Lyrics

Ah wanangu Dar Es Salaam Nigongee vibe eh? Oya oya oyaah Nairobi vipi form ni gani? Hakuna tu cha kusema Ni pitapita tu mi na za kwangu Ni kutafuta hela tu baba angu Banyarwanda mpaka Baganda Burundi na Congo, bonjour? Bonjour! comment ça va Okay, okay alright (Touch, Touch, Touch) Habari za ndani na kimataifa, maisha, michezo na burudani, haloo Habari za ndani na kimataifa, maisha, michezo na burudani Ikiisha siku imekwisha No repeat, no rewind Unamtaka Huddah ama Kajala? (Go fight) Dar Es Salaam imekucha ukilala (Goodnight) Ajali ajali anaacha barabara (Puuh) Bombastic Na kumbe kenge upo kwenye msafara huu Duh! good luck Watu wanadandia magari Wapate safari kujivinjari We unadandia hatari Kifo cha mende, migulu chali Sura wamezificha Mpigaji kachomesha picha Si alikuaga anabisha Kama anatoka na Monalisa Dada Eminado Jana kashushwa na Prado Kumbe watu wanakula chabo Kwa mumewe imekuwa trouble Habari za ndani na kimataifa, maisha, michezo na burudani Habari za ndani na kimataifa, maisha, michezo na burudani Unataka trending ukae number one Ndio upake mkate Colgate Mambo ni mengi yaani very funny Kichwa cha habari kwenye magazeti Zile bwana pita pita Nikajikuta kwenye page za udaku (Eeh) Mtu kafanya upumbavu Wamemuogesha maneno machafu (Eeh) Tutarudi punde si punde Tupate maneno ya wadhamini (Eeh) Kuna stori mujini fasheni kidume katinga bikini Tobaa Okay, kama una source Nipigie keep me posted Kabla sijafunga mapoti Maana bado mna vitu hot hot Kwenye laini ya kwanza hello Sina muda story short Wananiita Zaza Zizi Zuzu Saa mbovu wa kibanda cha Moshi Jana nimemuona kijeba Kachomeka magongo ya ngongoti Habari za ndani na kimataifa, maisha, michezo na burudani Habari za ndani na kimataifa, maisha, michezo na burudani Wanangu Dar Es Salaam Nigongee vibe eh? oya oya oyaah Na mdundo wa T Touch Engineer fundi makaravati (Touch Touch Touch) Classic music
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out