Lyrics

Mchizi wa bongo Mac Muga Yuko single sana Mac Muga Ukimwona kutwa akijinamia Kwa sababu ya maisha yamchanganya Long time mambo alizamia Na kwenda kusini mwa Africa Huku pia akimchanua Kwa sababu ya maisha aliyofuma Alikuwa maarufu sana Akajiona yeye ndo winner Full kujichanganya na wasichana Club zote za huko kujulikana Wewe Mac Muga Wewe wewe Mac Muga Ah, hii dunia Mac Muga huruma! Mungusha Athumani alipofika South Africa Alikuwa na maisha bomba Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika Magari na kubwa nyumba Mungusha Athumani alipofika South Africa Alikuwa na maisha bomba Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika Magari na kubwa nyumba Ona sasa amesharejea Hajui wapi ataanzia Hakuna kazi kutwa akajinamia Mac Muga hii ni dunia Maisha alichezea Gari ya kutembelea Shida walimwelezea wasichana Na shida zao akawatatulia Hivi upewe nini Mac Muga Mungu akupe nini Mac Muga Nymba ulijijengea, full kuchanua Wewe ndio wewe, wengine fala Wewe, Mac Muga Mbona sasa umeshatibua South Africa wamekutimua Na sasa home usharejea Wewe Mac Mungu akupe nini Mac Muga Ah, hii dunia Mac Muga huruma Mungu si Athumani alipofika South Africa Alikuwa na maisha bomba Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika Magari na kubwa nyumba Mungu si Athumani alipofika South Africa Alikuwa na maisha bomba Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika Magari na kubwa nyumba Ona sasa amesharejea Hajui wapi ataanzia Hakuna kazi kutwa akajinamia Mac Muga hii ni dunia Yikes kana huoni kwa Mac Muga Roho inauma huruma kanyongo'nyea Afanye nini sasa cha kufanya Kila anachachofanya anaona anakosea Yikes kama huoni kwa Mac Muga Roho inauma huruma kanyongo'nyea Afanye nini sasa cha kufanya Kila anachachofanya anaona anakosea Akiwa jambazi gerezani ataishia Akiwa mwizi anaona atauliwa Akifikiria kujiua nafsi basi analia Wewe Mac Muga Mungu akupe nini mac muga Aai Ni dunia Mac muga huruma Wewe Mac Muga Mungu akupe nini Mac Muga Oooh my, dunia Mac muga noma Mungu akupe ni mac muga Aaaaah Mac Muga Noma Mac muga noma (ooooh) Baucha records, kuita maisha raha, Kuna kupanda na kushuka bana mmmh Eeyoooo (eeyoooo), Mac muga noma ooooh
Writer(s): Ali Saleh Kiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out