Listen to Mganga by Xouh

Mganga

Xouh

Dance

15,296 Shazams

Lyrics

Mganga namuona ex wangu anafuraha Yani kitu sijapenda famasiala nini Nataka apitie magumu Alofanya tuachane bado anabeng nae (Hii pia sijapenda) Naomba mahusiano yao wasijue yanahusiana na nini Kama kafara hebu toa miguu yake (afe vibaya) Yani mbwa yule achokwe (aachwe vibaya) Siwezi kukubali niteseke peke yangu alafu yeye anadunda tu Mganga mpe lana kila ataempata awe mpenzi wa mtu (Akamatwe achapwe) Kwa alonifanyiaga (Na ye yamkute na ye yamkute) Bora angechezea wote sio mimi Ila hapa kakutana na namba chafu Bora angechezea wote sio mimi Ila hapa kakutana na namba chafu Alafu mganga ebu fanya kitu Ikiwa baby wangu ananicheat mkomeshe Danga lake lipige pasi kifuani pasi Namaanisha mkondeshe Nishachoka drama Sitaki stress ndogondogo Nataka mtoto wa mtu nimuweke kwapani Akinipenda awe ananipenda Asiponipenda awe ananipenda tu Ila mganga tafadhali naomba ex wangu ascheke tena Siwezi kukubali niteseke peke yangu alafu yeye anadunda tu Mganga mpe laana kila ataempata awe mpenzi wa mtu (Akamatwe achapwe) Kwa alonifanyiaga (na ye yamkute na ye yamkute) Bora angechezea wote sio mimi (Bora angechezea wote) Ila hapa kakutana na namba chafu (Amekutana na namba chafu) Bora angechezea wote sio mimi (ooh) Ila hapa kakutana na namba chafu (Asicheze na hisia zangu) Kama kafara hebu toa miguu yake Yani mbwa yule achokwe
Writer(s): Ramadhani "rimizy" Daniel, Zulfa Mohamed Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out