Credits
PERFORMING ARTISTS
Team Veterans
Performer
Swat Matire
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boniface Mwangi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Magix Enga
Producer
Lyrics
Leo nime panda nganya
Leo nime nyanya na mambanga
Tunaroria leo tunaroria
Tunawakunywa kama kuwa kunywa
Niko gaje kuliko lake Victorioa
Nama gyals kwa riang hatuezi kosa
Tunaroria leo tuna roria
Tunawakunywa kama kuwa kunywa
Leo ni leo leo design na inawaka leo
Akuna rush mbio machaji au sio
Kuwa sip kuwa drink kuwanywaku
Mambichwa zina wambataka soul hatusembetell
Na bado riba zetu tukizoza wata tembetell
Alafu sii huu zii seti na mafediii kaa kartel
Ndakala niko inde joh kwa lebo
Topatings Juu tume pndisha lebo
Wapi kumezima tufike tuwashe hivii
Bado tunaroria tuko Eazy joh kwa jiji
Na vako zaki batty hatupendagi utazidii
Ma gyals wako inadi pondi house hii ni waparty
Niko gaje ma wabling mavitu tings mashadling
Kujisend ku searching sii nima yout wi run it
East eeeh eazyy
Is a banger ting magix enga kill di scene
East side eeeh Eazy ting
Is a banger hit ting magix enga kill di scene
Leo nimepanda nganya
Leo nimenyanya na mambanga
Tunaroria leo tunaroria
Tunawakunywa kama kawa kuwa kunywa
Niko gaje kuliko Lake Victoria
Nama gyals kwa riang hatuezi kosa
Tunaroria leo tunaroria
Tunawakunywa kama kawa kuwa kunywa
Vitu illegal huomosha msee faster
Kuomoka si rahisi usiwork harder
Work smart hakuna shortcut zilishatingwa
Zimwa ukijiskia bingwa limwa ukijiskia pingwa
Miwa kwako itakuwa supper
We si drug dealer na uko maziwa
Ama we ni mafia we ndio unawakanga
Si umix jik na magadi usipate gondo ka we mtoto
Nilikuwa na ngovo nikiwa ndonyo
Usipate gondo ka we mtoto
Nilikuwa na ngovo nikiwa ndonyo
Luku diriba nama banger tuki kill kwa hizi scene
Hatu chat chat Sanaa huku action ndio sii huu deal with
Swat hizo mali ziki land tuzikinde
Bado sii huu run tings loaded heavy tings boarded tuki
Land wanatii
Tuna go hard hizi streets bado wao see
Mad city 3560 kwa scene mad city utanipata niko in
To the world bado buda sii husema wata gwan
Wahi wahi kama imedai cheki wahi wahi
Wazing wako on nama gyaldem wame vai
Kwa streets tuko on usi mess E side
Na still mi ni top ranked hizi bado side
Full time joh kwa game kuna kimbizaga time
Nama mbling tuko set cheki set skia fine
Sini G's huku East North South West side
Writer(s): Boniface Mwangi
Lyrics powered by www.musixmatch.com