Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Centano
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Innocent Lucas
Songwriter
Lyrics
Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa nasiwezi kupoteza vyote
Uulala, Hunipi amani hunipi pressure acha ntafute pesa
Nasiwezi kupoteza vyote uuulala uuulala uuulala uulala ulalaa,...
Hello hello hello i know you love me,
Hello hello hello i know you need me,
Ila tatizo drama, nakujua wakupendwa sana,
Unajiona wee wa maana unasumbua sana,
Hivi ni kitu gani we hupatatii labda sikupi kwa wakati,
Oh cheza na mwili wangu usicheze na akili,
Usicheze na hisia zangu usicheze na mimi,
Maana mtaji wa masikini nguvu zangu
Mwenyewe, nguvu zangu mwenyewe ...
Sina baba sina mjomba tajirii, nguvu zangu mwenyewe, mwenyewee.,
Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa nasiwezi kupoteza vyote
Uuulala, Hunipi amani hunipi pressure acha ntafute pesa nasiwezi
Kupoteza vyote uuulala uuulala uuulala uuulala ulalaa,
Pesa nayo nini nilikosea mana inanikimbia usiku mchana naiita haitaki
Kuitikia, vimeumanaa,tabu sanaa,
Vyuma vimekaza inahitaji hekima sana,
Namuomba usiku mchana Mungu aniipe,
Na jasho la mnyonge Mungu alifute,
Natumia akili sana nguvu ndo yote
Si unaona babaa, bless me babaa ...
Mtaji wa masikini nguvu zangu mwenyewe,nguvu zangu mwenyewe ...
Sina baba sina mjomba tajirii, nguvu zangu mwenyewe mwenyewee...
Niko na mawili kwenye kichwa Mapenzi au pesa nasiwezi kupoteza vyote
Uuulala Hunipi amani hunipi pressure acha ntafute pesa
Nasiwezi kupoteza vyote uuulala uuulala uuulala uuulala ulalaa .
Lyrics powered by www.musixmatch.com