Lyrics

Aaah oooh Nimefanya vingi ukaniona zezeta Ooh kisa madingi ndo kwangu ukapeta Me sina shilingi unaniona njegeka Ugonjwa wa moyo kutetemeka mama Kunikana ndo waziwazi aibu hauoni Mapicha ya huko status unamkomoa nani Mipaja hadharani wafanya biashara gani Unafanya makusudi ilinikose amani Umemwaga ugali (mie na mwanga mboga) (Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali (Mie na mwanga mboga) ohh oh Umemwaga ugali (mie na mwanga mboga) (Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali (Mie na mwanga mboga) (Mie na mwanga mboga) Aah aah aah aah Bora kuachana unanizingua Maana unagubu wewe Wewe huna kutua Maneno kusemeshana unajikamua Sa vipi nikuelewe huna hata mia Unatia pini wanawachuna Utanimiliki vipi pesa hauna Mashetani kama jini ukianza kununa Meshazoea chips sitaki nguna baba Hapa umeya vagaa (Mie na mwanga mboga) (Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali (Mie na mwanga mboga) ohh oh Umemwaga ugali (mie na mwanga mboga) (Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali (Mie na mwanga mboga) (Mie na mwanga mboga) Freshi yaishe leo za kwangu hamsini na za kwako chukua Mama yaishe leo tukaushiane tusifatane Bwana yaishe leo za kwangu hamsini na zakwako chukua Baba yaishe leo tukaushiane tusifatane (Mie na mwanga mboga) (Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali (Mie na mwanga mboga) ohh oh Umemwaga ugali (mie na mwanga mboga) (Mie na mwanga mboga) Umemwaga ugali (Mie na mwanga mboga) (Mie na mwanga mboga)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out