Music Video

Lady Jaydee - Nyumbani SMS SKIZA 7916632 to 811
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lady Jaydee
Lady Jaydee
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Judith Wambura Mbibo
Judith Wambura Mbibo
Composer

Lyrics

Unanipendezea unapotembea ukitabasamu Mi napata raha unanivutia ukiniangalia Dunia yangu inakamilika Uwapo tu hapa nyumbani Nikisema ni wewe elewa ni wewe Unayenipa kiwewe hapa nyumbani Nilie hapo nyumbani, aii aii mama wee Niketipo chumbani, aai aai wee Najionea najihisia najionea, nyumbani Najionea mahaba tu, nyumbani Najionea najihisia najionea, nyumbani Najionea mahaba tu, nyumbani Sichoki sura yako nalo tamu penzi lako Nzuri sauti yako na ucheshi wako, safari yangu kwako Penzi langu ni lako, maisha yangu ya kwako Ya kwako tu, kwako tu hapa nyumbani Nikisema ni wewe elewa ni wewe Unayenipa kiwewe hapa nyumbani Nilie hapo nyumbani, aii aii mama wee Niketipo chumbani, aai aai wee Najionea najihisia najionea, nyumbani Najionea mahaba tu, nyumbani Najionea najihisia najionea, nyumbani Najionea mahaba tu, nyumbani Aii aii mama wee Aai aai wee Najionea najihisia najionea, nyumbani Najionea mahaba tu, nyumbani Najionea najihisia najionea, nyumbani Najionea mahaba tu, nyumbani
Writer(s): Judith Wambura Mbibo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out