Lyrics

Iyoooh oooh mama Oya muda ushaenda na watu wanapungua Mnyama amezima wee mpaka anasachiwa Jabulanti uhakiwa kitambo kashangoa Jembe kagoma wakati mapema tuu Tulimwambia kwamba mama Goma la mwisho hilo Goma la mwisho hilo Goma la mwisho Tucheze mwisho Watuwanakushangaa wanainuka We unakaa Likiisha iligoma wote tunajikataa Kama umepata danga toka nalo timua Tafuta waliokupa lift usije ukakimbiwa Natena kama unadanga danga mpaka mbinguni wajue Na danga kama umedangwa danga toka nae kabandue Wee kama namba ajakupa chukua Kama bia ijaisha malizia Kama kanywa asiinuke atakimbia Kama mkongo hauna agizia Wee kama muda ushaenda n watu wanapungua Mnyama amezima wee mpaka anasachiwa Jabulanti uhakiwa kitambo kashangoa Jembe kagoma wakati mapema tuu Tulimwambia kwamba mama Goma la mwisho hilo Goma la mwisho hilo Goma la mwisho Tucheze mwisho Wee Dj washa dundo Usizime dundo watu wanataka dundo Washa dundo Mnazingua ngoma ya mwisho vp watu bado wanaluka Me ndio kwanza nimeingia mlangoni nishapasuka Nimetumia ela kibao sijapata hata chura wa kusepa nae kisela
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out