Top Songs By Ambassadors of Christ Choir
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ambassadors of Christ Choir
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ambassadors of Christ Choir
Songwriter
Lyrics
anayo kheri amkaribiae mungu Kwa msaada wa yesu
mana yesu ndie mkuu tena yeye ni mwamini wetu
kama alivyojitoa msalabani ili atuwezeshe wote
tusimame hukumuni tuwashindii,
ni wewe eeh mfalme wetu ni wewe kweli wastahili sifa, ni wewe eeh mfalme wetu mwenye wokovu mikononi mwako ×2
utukufu uwe wako ulitupenda ukatufia pokea shukurani zetu usifiwe na milele ooh tuineu bendera yako na sauti zetu zisifu
mwambie yesu akutetee hukumuni utashinda wamwaminio bwana wamaa huitwa wana wa mungu Mambie yote mwenye huruma tenaa nao uwezo wakututakasa na tukawa safi utakaso ule wa damu aliyoimwaga mtini naasifiwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com