Top Songs By Ambassadors of Christ Choir
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ambassadors of Christ Choir
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ambassadors of Christ Choir
Songwriter
Lyrics
Rangi zipo nyingi
(Dunianii...)
Tena zote ni rangi nzuri
(Zapendezaaa)
Ipo nyeupe nyekundu na njano
(Zote)
Za kupendeza sana
Tena nyeusi na rangi ya chenza
Kijani na kadharika
Jaapo zote nzuri
(Zapendezaaa)
Sio zote zaweza faa
Kwa wakati mmoja
Mtu mmoja kwa mapenzi yake
Ataichagua rangi furani
Atakayojisikia ya mpendeza
Kuliko zile rangi nyingine
Chunga usijifanye mjanja
Kwa machaguzi yake
Ukisema rangi ni rangi
Yoyote yaweza faa
Hivyo hivyo mwenyezi Mungu
Kaitenga siku ya saba
Iwe ni sabato kwake
Pia kwa watu wake
Kwann nijifanye mjanja
Nikisema siku ni siku
Ndio siku zote ni nzuri
Lakini ya saba bora kwake
Nitawafundishaa
Watu kupumzika
Siku ya sabato
Kama alivyotuagiza Mungu
Nitawakumbushaa
Wote kupumzikaa
Siku ya sabato
Kama alivyotuagiza Mungu
Nitawafundishaa
Watu kupumzika
Siku ya sabato
Kama alivyotuagiza Mungu
Nitawakumbushaa
Wote kupumzikaa
Siku ya sabato
Kama alivyotuagiza Mungu
Mataifa yetu mbalimbali
Yanazo bendera zake nzuri
Wote twaziheshimu
Zipo rangi zilizochaguliwa
Kuzipamba hizo bendera
Nyengine nyeusi na kijana
Nyekundu na kadhalika
Jee itakuwaje siku moja
Mtu mmoja kujifanya mjanja
Na kuzibadili rangi
Pale palipo rangi ya kijani
Yeye akaweka nyekundu
Tena palipo na njano
Yeye akaweka nyeupe
Ndiivyo akasema rangi ni rangi
Hiyo nayo ni bendera tosha
Tafakali sanaa
Bila shaka mtu kama huyo
Atahukumiwaaa
Kwa kutoliheshimu taifa lile
Pia na bendera yake
Hivyo hivyo atahukumiwa
Mtu ajifanyaye mjanja
Kwa kusema siku ni siku
Ya saba sio bora sana
Hivyo hivyo mwenyezi mungu
Kaitenga siku ya saba
Iwe ni sabato kwake
Pia kwa watu wakee
Kwanini nijifanye mjanja
Nikisema siku ni siku
Ndio siku zote ni nzuri
Lakini ya saba bora kwake
Nitawafundishaa
Watu kupumzika
Siku ya sabato
Kama alivyotuagiza Mungu
Nitawakumbushaa
Wote kupumzikaa
Siku ya sabato
Kama alivyotuagiza Mungu
Nitawafundishaa
Watu kupumzika
Siku ya sabato
Kama alivyotuagiza Mungu
Nitawakumbushaa
Wote kupumzikaa
Siku ya sabato
Kama alivyotuagiza Mungu
...END
Lyrics powered by www.musixmatch.com