Top Songs By Boondocks Gang
Credits
PERFORMING ARTISTS
Boondocks Gang
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tony Kinyanjui
Songwriter
Francis Macharia
Songwriter
Edward Kimachu Irungu
Songwriter
Lyrics
Nimeacha pombe kutoka leo na ni kwa counter
Nimeacha pombe kutoka leo na ni kwa counter
Nikikunywa pombe wananiita alcoholic
Nikikunywa fanta hawaniitangi fantastic
Bure kabisa (bure kabisa)
Aki walai nimeacha pombe kutoka leo
(Shenzi, bure kabisa)
Aki walai nimeacha pombe kabisa (toka apa shenzi)
Bure kabisa (bure kabisa)
Kutoka leo sitawai kunywa pombe tena
(Shenzi, bure kabisa)
Nimeacha pombe na nimeapa kutoka leo
(Toka apa shenzi)
Nikipata pombe, endelea
Kaa ni pombe naogelea
Nikipata bet, naekelea
Kaa ni Manchester nakojolea
Mmh, womanizer napenda ku-e ecolizer
Alafu niki-e fertiser
Alafu ngware morning kazi niku-legaliser
Teka, fika kamefika
Hiccup mi' naskia ku-hiccup
Hiccup, sai naskia ameteka
Si kila mtu anateta apambane kama (aaaaah)
Bure kabisa (bure kabisa)
Aki walai nimeacha pombe kutoka leo
Bure kabisa bure (kabisa)
Aki walai nimeacha pombe kabisa staki
Bure kabisa (bure kabisa)
Kutoka leo sitawai kunywa pombe tena
Bure kabisa
Nimeacha pombe na nimeapa kutoka leo sitawai
Leo ukijinyce tuko keja
Ukizisundanga ukicheka
Kismart ndio weather
Ka-jackpot si kaa uweza
Uki-peach, uko sure aki nguna uta peach
Niko vako Roma na mdish
Eei eei nitam-miss
Ka ni Mayday nitai-reach
Uki say say aki utabreach
Ngware, Serengeti, mamoshi nikuseti
Leo niko selfie
Bure kabisa (bure kabisa)
Aki walai nimeacha pombe kutoka leo
(Shenzi, bure kabisa)
Aki walai nimeacha pombe kabisa (toka apa shenzi)
Bure kabisa (bure kabisa)
Kutoka leo sitawai kunywa pombe tena
(Shenzi, bure kabisa)
Nimeacha pombe na nimeapa kutoka leo
(Toka apa shenzi) yea
The only inaeza niingiza kwa mtaro nimesema ni pombe
Na sio kutu, juu, ni pombe
The only thing inaeza fanya niingie kwa mtaro, ni pombe
And I repeat ni pombe
Sio kutu
Na by the way pombe ya siku hizi haileweshi
Juu akuna curfew
Uko na dem na sujui mbona hunyonyeshi
Nilipata fame nika-switch marashi
Nime-study game sio lazima may kwa kati
Nyi mko lane sijui mbona hampigi densi
Hahahhaaha ooee
Wikendi ikifika niko na Marya
Ni pombe nifanye nichomaya
Na ni pombe itafanya nteke mbaya
So calm pia (ucheze)
Bure kabisa (bure kabisa)
Aki walai nimeacha pombe kutoka leo
(Shenzi, bure kabisa)
Aki walai nimeacha pombe kabisa (toka apa shenzi)
Bure kabisa (bure kabisa)
Kutoka leo sitawai kunywa pombe tena
(Shenzi, bure kabisa)
Nimeacha pombe na nimeapa kutoka leo sitawai
(Toka apa shenzi)
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com