Credits

COMPOSITION & LYRICS
Amos Mbevo Kasamu
Amos Mbevo Kasamu
Songwriter
Angelo Yohana Yohan
Angelo Yohana Yohan
Songwriter

Lyrics

It's bullet Is fisa Is diang Is fisest Wolan coda Top kwenga nasaka machwenga Nikiinzagi nadai kujenga keja Top kwenga nasaka machwenga Nikiinzagi nadai kujenga keja Keja kwenga top chwenga Keja jenga top kwenga Red lorry yellow lorry(eeh) Kimorning glory Rengwa kabla nikiwashe sipendi mastory Naosha sura alafu najitoa mangori Kabla sijaanza kwanza najisaksua mapori Naweza angukia kichwepe kya juzi Nilindasu nikasahua Juu enyewe niko kidude Huwezi jua hadi naweza angukia kithao Nijipate niko mapilka Punde si punde natafuna matawi na si kunde Si jaba ni majani chai kumbe Nikichemsha niki laku na makumbekumbe Ni juu ya wabling wacha nzakwa nijisunde Ehee Punde Sanse nyuma na bunde (boom) Ka ulikuwa utoke teke jisunde (wee) Sitembei na magoti lakini zinagongana Vikombe nimekunywa ni munde (kiyana) Nipige gomba mbili walai ndawasare Niko karibu kuingia flight-mode Na macho zimenyanya Shada nimewaka Miguu zinajivuta (step) Msupa chora saba Na me nasababisha Juu me ni baba Huwezi nibabaisha Flow imebadilika Sauti inatiririka Madem wanachachisha Ra ra ra ra rapdokta Top kwenga nasaka machwenga Nikiinzagi nadai kujenga keja Top kwenga nasaka machwenga Nikiinzagi nadai kujenga keja Keja kwenga top chwenga Keja jenga top kwenga Nadai keja Nadai kitu major Nikiinzagi ni weze kuwateka Kiuzingting na bado kuwasesa Vitu bwaka si vitu reja reja Najikaza nipate za kuwaka Nikipaka niondokee maswara Nikikwara juu sipendi ufala Madimboste huleta za kubanja Ni mashoste hawana mamkwanja (tomba) Madimboste huleta za kubanja Ni mashoste hawana mamkwanja Top kwenga nasaka machwenga Nikiinzagi nadai kujenga keja Top kwenga nasaka machwenga Nikiinzagi nadai kujenga keja Keja kwenga top chwenga Keja jenga top kwenga
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out