Lyrics

Mungu baba Uliye mbinguni Jina lako Baba litukuzwe Ufalme Wako uje Mapenzi yako Baba yatimizwe Mungu baba Uliye mbinguni Jina lako Baba litukuzwe Ufalme Wako uje Mapenzi yako Baba yatimizwe Karibu Yesu Ukae kwangu Siku zote Maishani mwangu Karibu Yesu Ukae kwangu Siku zote Maishani mwangu Karibu Yesu Ukae kwangu Siku zote Maishani mwangu Uwe wangu daima Nikijaribiwa, uwe wangu daima Hata nikiteswa, uwe wangu daima Ninaomba Nilalapo Ndani ya mkapo Wema wako baba Bado upo kwangu Nimezungukwa Na nguvu zako Ewe Yesu Urafiki mwema Nilalapo Ndani ya mkapo Wema wako baba Bado upo kwangu Nimezungukwa Na nguvu zako Ewe Yesu Urafiki mwema Karibu Yesu Ukae kwangu Siku zote Maishani mwangu Karibu Yesu Ukae kwangu Siku zote Maishani mwangu Karibu Yesu Ukae kwangu Siku zote Maishani mwangu Uwe wangu daima Nikiwa mjane uwe wangu, uwe wangu daima Nikikosa chakula uwe wangu, uwe wangu daima
Writer(s): Upendo Nkone Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out