Listen to Customer Care (feat. Dj Gold & Foby) by P Mawenge

Customer Care (feat. Dj Gold & Foby)

P Mawenge

Hip-Hop/Rap

20,934 Shazams

Lyrics

Wengeee Juzi tupo zetu dampo niko na wanangu wa bodaboda Siku ilikuwa ngumu abiria mmoja-mmoja Nikasema leo ghetto ni ugari na mboga-mboga Maana mpaka sasa haionekani dalili ya vitoga Basi nimetulia tu naminya-minya simu Huku nawaza nani leo nimuharibie stimu Hata sijui ni wapi mawazo yalipotokea Eti nijaribu kumtongoza customer care Basi nikapiga moja zero zero fasta Na kila nikisikia sauti ya kidume nakata Nikajaribu kama mara tano hivi sikupata Kupiga mara ya sita mtoto huyo kanasa Mi ndiyo fundi wa kutega ulimboo Ukigusa unanasa hutoki tena, Na nikitembeza fimbo, mara moja tu ananing'ang'ania Customer care, Customer care Leo kanasa Customer care Customer care... Hello! Habari, unazungumza na happy Unaitwa nani na unapiga simu toka wapi Jina langu mawenge naishi kiwalani Ni bodaboda hapa bombom barabarani Ahaa asante sana kwa kutupigia Nini tatizo lako tuweze kukuhudumia Aaaah simu zote nazopiga zinakata Yaani sijui sababu ni nini mpaka nadata Kama salio mbona muda wa maongezi ninao Naomba nichekie labda ni masuala ya mtandao Okay! Tafadhali nakuomba usubiri Usikate simu nakushughulikia dakika mbili Mi ndiyo fundi wa kutega ulimboo Ukigusa unanasa hutoki tena, Na nikitembeza fimbo, mara moja tu ananing'ang'ania Customer care Customer care Leo kanasa Customer care Customer care... Aaaah, ukweli kabisa nimefurahi ulivyo mkarimu Unanivutia kwa kukusikia tu kwenye simu Amini kwamba mwenzako umeshanitia wazimu So, Kama upo single naomba hiyo nafasi muhimu Heee! Aiseee mbona umefika mbali Unanifahamu kama nimeolewa tayari Sio mbaya na mimi pia na-test zari Inaweza kuwa bahati yangu na ukanikubali Tafadhali sana mawenge usiwe mbishi Ebu kata unajua hii ni simu ya ofisi Sawa lakini hii mimi ndo namba yangu So nicheki humu ukitaka kunipa jibu langu Kupita dakika kumi tu ujumbe nikapokea Save namba yangu mimi ndio yule ccustomer care Mzee nikaomba date yani bila kuchelewa Leo niko naye ghetto na ugali nishasongewa Mi ndiyo fundi wa kutega ulimboo Ukigusa unanasa hutoki tena, Na nikitembeza fimbo, mara moja tu ananing'ang'ania Customer care Customer care Leo kanasa Customer care Customer care...
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out