Listen to Manukato Ya Sifa (feat. Guardian Angel) by Ali Mukhwana

Manukato Ya Sifa (feat. Guardian Angel)

Ali Mukhwana

Christian & Gospel

Lyrics

Shamma we ni jehovah dear Instrunmental Umenibeba juu halleluyah Umenijenga juu ya mwamba aaah Mungu umeja wema aah na mapendo eeh Nimeona uzuri wako ooooooh Nani wa kufanana na ebenenezar mungu wa israeli Wa kupenda na kuchukua ni wewe jehovah aaaah Umenifanya muriithi wakusudi lako wema kabisa yeye eeeh Nimutumaini yeyeye yeye nani ila ila ebenezah Na bado unanikumbatia wakati wa mawimbi Tena bado unanizingatia na kunipa tumaini Nafsi yangu ninakupatia nifinyangee eeeeh Nitalinda moyo wangu uuuh ukufuateee eeeeh.
Writer(s): Peter Audiphaxad Omwaka Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out