Lyrics

Yeh Yeh Yeh Yeh Yeh Yeh Yeh Yeh Yeh Bazengaa Tuki Step in ni commotion hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama peddle Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje Step in ni commotion hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama Nikiwa kwa fom jua ni genje ni genje Nikiwa kwa fom jua ni genje ni genje Bazu Bazu wabebe juu kwa juu Bazu Bazu wabebe juu kwa juu Aki ya nani sija chase hii vodo walai Aki ya nani leo sitoki solo walai Ma gala wananisuka na wanaweza We una pupa na umefika na impreza Ma fuck boy wamedie nywele kama dexter Na mashashola ndani ya satchet ya ketepa Ehh! Big drip hii ni nile apana tana Kuna msupa ameibwa weave kwa hii turn up Mzuka full genjeness in abundance Sishiki tenje ka hatubongi biashara Tuki Step in ni commotion, hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama peddle Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje Step in ni commotion, hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama peddle Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje Hii ni vibe ya ki bazu na fom iko true Na sipendi hawa ma zuzu hubleki kwa loo Leta kichwa kachumbari na ki supu Ati hujali mbele ya watu unani busu Ma taxin ndio zimefura kwa mdomo Niko sete na kwa pori ni ma jomo Nachocha benzo niwashie ki jamo Ngoma kali itawashika mpaka lagos TK mandugu zangu wako area Ka umejipin usilipue ki ndeng'a Kuna makwella nataka nitoke nao later Wakiniboh niwa curve kama Beckham Tuki Step in ni commotion hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama peddle Nikiwa kwa fom jua genje ni genje Nikiwa kwa form jua ni genje ni genje Step in ni commotion hatu settle Ma peng ting kuwazungusha kama peddle Nikiwa kwa fom jua ni genje ni genje Nikiwa kwa fom jua ni genje ni genje
Writer(s): Paul Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out