Lyrics

It's her beloved This is Barnaba Boy Classic Yo King I've got the message "I love her ah" Ow ho, oh oh oh, eh mh Oh whoa whoa whoa yah (yo) Mhh, mhh, ah ah, ah ya ya Peke peke mh Nikupe habari, tangu nirudi safari Nikakupata kimwali, tumeshinda dhohari Nitazungumza naye bibi na babu wataridhia Siku ya ndoa shera wigi Mie kanzu na jambia Tumeshinda vizingiti wambea hamtutishi Maneno yenu uchafu Yeye shabuni mie jiki Mtasubiri mazishi, sisi bado tunaishi Utamu wa wali nazi Kungu ule na parachichi Ayii mwali wangu (cheketua) Wee ndio tunu yangu (cheketua) Mbeba siri zangu (cheketua) Mwenye tamu yangu (mh, cheketua) Ayii mama, uyoo (cheketua) Tumetoka far away (cheketua) Waacha waongee (cheketua) Maneno yao usijari (cheketua) Peke, peke peke, peke oh mama I dedicated this for you baby My heart is for you baby Them folks My love is good baby Eh oi yee, iyo yo ah, ehh (eh) Nikupe nikupe oh midola Arusha na Manyara ama nikupe dawa Nikupe farahi, nikupe dinari Nikupe bahari, samaki waishi mbalii Roho ziliowapinga waambie ugoniree (waambie ugoniree) Ndanga mkyasi wangu woyi, woyi, woyi Tumeruka vizingiti wambea hamtutishi (wambea hamtutishi) Utamu wa wali nazi, uutafune na ndizi Nahisi mamaa asali yangu we Aje mama mkwe (cheketua) akupe na zawadi Ayii mwali wangu (cheketua) Wee ndio tunu yangu (cheketua) Mbeba siri zangu (cheketua) Mwenye tamu yangu (mh mh, cheketua) Ayii mama uyoo (cheketua) Tumetoka far away (cheketua) Waacha waongee (cheketua) Maneno yao usijari (cheketua) Peke, peke peke peke Kaka, kaka ahh Ah, ayi mama Ayii mama (peke peke) Ayii waachi waongee (peke peke) (Peke peke) Ayii mama, tumetoka far away (tumetoka far a way) Barnaba (ah) Tausi ndege wangu (cheketua) Ndege wangu wa thamani (cheketua) Ndege ulioshika mali (cheketua) Na vitu vyangu vya thamani (mmh, cheketua) Mie Adam yeye ndio Hawa (cheketua) Nipetena mama (cheketua) Cheke cheke cheke (cheketua) Mhh (cheketua) (Yo) Mopao yo King Love is good baby
Writer(s): Barnaba Classic, Alikiba Alikiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out