Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kayumba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ismail Juma
Songwriter
Lyrics
Mhh mhh aah aah
1: kugombana si suluhisho muhimu tuongee kuna leo na kesho chuki
Usiniwekee umenipa mzigo mzito nashindwa kubeba unanielemea naambulia
Mateso sijui lini nafsi itatulia zile kauli chafu na vipigo
Vyote nisamehe mimi kwako si mzigo penzi liendelee ooh liendelee0
BRIDGE: Hivi ni kweli hutaki hata nitazama na kuniona
Kabisa mwenzako nimemiss penzi la jana lenye amani na furaha
Oh baby Tuongee tuongee tuongee
Tofauti tumalize mi ma we mi na wewe ×2
2: Ulinivumilia mengi nilikukosea machozi ukanimwagia sikujali
Ulipoumia magoti nakupigia nimekosa wangu malkia nishakoma
Sitarudia unatoa kopa unaweka shoka yenye ukali eti umechoshwa
BRIDGE: Hivi ni kweli hutaki hata nitazama na kuniona
Kabisa mwenzako nimemiss penzi la jana lenye amani na furaha
Oh baby Tuongee tuongee tuongee
Tofauti tumalize mi ma we mi na wewe ×2
Writer(s): Joel, Joseph
Lyrics powered by www.musixmatch.com