Lyrics

Matam, mapenzi matam Raha zimeshamili kaa mnwvyo ona Jamani matam Vitam, napewa vitam Usione nanawili, usione nanona Napewa vitam Penzi lipambwe na waridi Nogesha na udi mambo hayaa Mpenzi nikinge na baridi Maana likizidi hali mbaya huuuuu Mapenzi yetu ya rangi rangi yanapendeza sana Na kwako nimeweka kambi ayaaaa Moyo unashahidi mwandani wangu Wewe ndio my habity feraha yangu Moyo unashahidi mwandani wangu Wewe ndio my habity feraha yangu Me kwake yeye I'm in love Tunapendana Ringa ringa mamaa Walushe rohoo Tunapendana Mimi na yeye Kuachana mwiko Tunapendana Ringa ringa mamaa Walushe rohoo Tunapendana Kwenye mito milima Nitavuka naee aah Uwezo wa karima nitadumu nae Kashika nyama na mifupa kaapa nitazikwa naee Mapenzi ya raha kuchi kuchi hotaee Na lake huba analo nipa Me sijaona kama yeeh Mapenzi ya raha Couple yetu imenoga ipo ng'aring'ari Bila ya ndumba kuroga twayanza safari Baby ulipo name nipo we pipa me ndo mfuniko Tushakulaga kiapo Kuachana mr nawe mwiko huuuuu Mapenzi yetu ya rangi rangi yanapendeza sana Na kwako nimeweka kambi ayaaaa Moyo unashahidi mwandani wangu Wewe ndio my habity feraha yangu Moyo unashahidi mwandani wangu Wewe ndio my habity feraha yangu Me kwake yeye I'm in love Tunapendana Ringa ringa mamaa Walushe rohoo Tunapendana Mimi na yeye Kuachana mwiko Tunapendana Ringa ringa mamaa Walushe rohoo Tunapendana
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out