Lyrics

Unazima simu yako ukiwa na mimi Nimesha kua mume wako hasira za nin Tena upungze vituko tukiwa chumbani Mendokama baba yako nilo kuweka ndani Hee Habari zako nazi pataga Minabakitu me naumia Una nitukana uki lewami Sina kitu naki bamia Natamani nije kukumwaga Ila siwezi nitaumia Punguza vituko basi we dada Nipate rahaya duniaaa yaya Baby basi Tuliza yangu naaafsi Tuache utoto bas Twende na wakatii Baby basi tuliza yangu nafsi Tuache utoto basi twende na wakatii... Kikubwa heshima Najua siwezi kua pekeangu Tunza langu jina mama Na uwa ogope ma rafiki zangu Nakupenda sana Hutaki kubadilika we mwenzangu Unani nyanyasa sana Kisa na linda hili penzi langu Oh baby ogopa maradhi Tusije tuka ziikwa mapema Utani samehe kama me nakosea kusema Habari zako nazipataga Nabakitu me naumia Unanitukana ukilewaga Sina kitu na kibamia Natamani nije kuku mwaga Ila siwezinita umia Punguza vituko basi we dada Nipate raha ya dunia yaya Baby basi tuliza yangu nafsi Uache utoto basi Twende na wakati Baby basi tuliza yangu nafsi Uache utoto basi twende na wakaati Mama wololo wololo Mapenzi yamekabakoo kabakoo Kaja kunitoa roho toa roho Kamoyo kako mbio mbio mbio Mama wololo wololo Mapenzi yamekabakoo kabakoo Kaja kunitoa roho toa roho Kamoyo kako mbio mbio mbio Baby basi Unaniumiiza mwenzako oh Ooh baby basii...
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out