Lyrics

Kwanza mshukuru Mungu kwa vile ulivyo Wapo wanao tamanii iih kuwa kama vile wewe Kwanini wajiona aaah unashida nyingi sana Wakati kuna wenye shida zaidi yako wewe Shukuru kwa kila jambo maana ni mapenzi yake Wapo wengi jua likizama Wanaanza kufikiria aaah Nitaenda wapi iiih Nitakula nini iih Nitakala wapii iiih Wapo wengi jua likizama Wanaanza kufikiria aaah Nitaenda wapi iiih Nitakula nini iih Nitakala wapii iiih, (Heiyeeee) Chorus Usikate tamaaa (Wewe) Siku yako ipoooo (Ipo hooh) Wewe jipe moyo ooh Utabarikiwa aaaah (Usikate tamaa aaah) Usikate tamaaa (Wewe) Siku yako ipo (Siku yako ipooo ooh) Wewe jipemoyo ooh (Utabarikiwa) Utabarikiwa aaaah, Utabarikiwa (Utainuliwa aaah) Utainuliwa aaaah, utainuliwa aaah Kuna kipindi unawaza (Unawaza) Kama Mungu hakuoni iih (Heiiye) Muda mwingine wafikiri (Wafikiri) Umeumbiwa mateso ooh Ati majumba mazuri (Nononono) Wameumbiww wengine eeeh Magari ya kifahari waliumbiwa wakuu tu (Siyo kweli) Na majumba mazuri (Yeyeyey) waliumbiwa maraisi Maisha mazuri iiih tumeumbiwa sote eeh Kila mtu anawakati wake Usijihukumu bureeee Usijiue buree Subiri muda wako ooh utabarikiwa aaah Maisha mazuri iiih tumeumbiwa sote eeh Kila mtu anawakati wake Usijihukumu bureeee Usijiue buree Subiri muda wako ooh utabarikiwa aaah (Heeee) Usikate tamaaa (Wewe) Siku yako ipoooo (Ipo hooh) Wewe jipe moyo ooh Utabarikiwa aaaah (Usikate tamaa aaah) Usikate tamaaa (Wewe) Siku yako ipo (Siku yako ipooo ooh) Wewe jipemoyo ooh (Utabarikiwa) Utabarikiwa aaaah, Utabarikiwa (Utainuliwa aaah) Utainuliwa aaaah, utainuliwa aaah Ooooh oooooh ooooh Eeeeh eeeeh eeeeh eeeeeh Ooooh oooh oooh oooh Ooooh oooohh oooooh Eeeh eeeeh eeeeh
Writer(s): Jackson Yusuph Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out