Lyrics

Nitamfuata Nje ya lango Nikifurahia aibu ya msalaba Aliyoibeba mwanakondoo Nitamfuata nje ya lango la mji Ntamfuata nje ya lango Aliyefanyika dhabihu kwa msalaba Alipoanikwa mwanakondoo nitamfuata nje ya lango la mji (Ameingia pahali patakatifu Kwa damu yake tuna ukamilifu) Nitamfuata nje ya lango nikifurahia aibu ya msalaba Alioyoibeba mwanakondoo Nitamfuata nje ya lango la mji Nitamfuata nje ya lango Aliyefanyika dhabihu kwa msalaba Alipoandikwa mwanakondoo Nitamfuata nje ya lango la mji (Ameingia pahali patakatifu kwa damu yake tuna ukamilifu) (Ameyachukua Masikitiko yetu Amejitwika Huzuni yetu Kajehuriwa Kwa makosa yetu Alichubuliwa Kwa maovu yetu) (Ameingia pahali patakatifu Kwa damu yake tuna ukamilifu)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out