Top Songs By Jahazi Modern Taarab
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jahazi Modern Taarab
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Yusuf Mwinyi
Songwriter
Lyrics
Kwenye mafanikio, hasidi uyachukia.
Uendelee kwa lolotee...
Roho inamuunguaa
Atakuzungikia kotee... zaidi kukutimiliaa
Hasidi ni mtu yoyotee... mwenye choyo na chuki piaaa...
Najua wanichukiaaaa... ndani ya nafsi yako...
Uhasidi umekujaa,, kwa unayonifanyia ...ni ndani ya nafsi mungu anavyoniokoa...
Hasidi ukifanikiwaa,,, uwezekwa kwa yako moyo anaumia .
Ridhiki na miminiwa bakiya na choyo chako na kunisema vibaya
Zuri langu langu kulichukia hiyo mbaya, mbaya roho yako
Utakonda kwa roho mbaya na dawa kwako haipoo
Atakutibu nani?
Lyrics powered by www.musixmatch.com