Lyrics

Mi Mwenzako Sina Amani ya mapenzi Mi Mwenzako Sina Hata wa kunienzi Umeumiza mutima mama Umebadili na jezi Unasema umesander Na kunipenda huwezi Kukicha alfajiri nadanganya Siri mabaya yako uyache Umevunja nadhiri Kunipenda Mimi Labda uchungu ukukamate Umekubwa na nini Ama mdudu jini Mbona unanifanya nidate Hata salamu Nikikupa unanichunia Marafiki zako Akina don Masha na Kina lokole Insta mnanichamba Mnasema eti mmenipatia Nami nguvu Sina... Nitakusahau Nitakusahau Nitakusahau Nitakusahau Ila bado siamini Upweke wangu Nakesha ndani kama nini Peke yangu Nina Michale kama jini Mwilini mwangu Nife nifukiwe Chini niende zangu Ila bado mi nawaza Kungojea labda Utarudi basi Uje uniondoe simanzi Utaniua Marafiki zako akina Don masha na Kina lokole Insta mnanichamba Mnasema eti mmenipatia Nami nguvu sina Nitakusahau Nitakusahau Nitakusahau... Oooh oooh ohhh
Writer(s): Benjamin Paul Mwenda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out