Listen to Yote Sawa by Nandy

Yote Sawa

Nandy

Afro-Beat

18,878 Shazams

Lyrics

Mimi sio kama wale Walopita zamani mpenzi Ooh niamini mwendo uwe sare Usije nicha njiani mpenzi Kule niliona mazito Penzi lilikuwaga la mpito Kulalama kulichosha koo Ila nashukuru ilinikomaza roho Licha ya kuitoa mchangani Sikuacha kujipa imani Japo mengi yalinikata maini Nikaliwazua na msondona Uzuri haupotei ramani Ubaya hauvaishwi miwani Nikachoka madongo ya gizani Na mateso ya Sodoma Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza Yote sawa, wouuh Yote sawa (Yote sawa) Tafsiri ya penzi sio kitanda tu Ina mengi juu yake ni mapenzi Sio kama sioni na sio ushamba boo Kuna wengi niwafuate Nilijaribu nilipoweza kufanya Haikuonekana kwangu ikawa aibu Kunichombeza kwa sana kumbe ananidanganya Licha ya kuitoa mchangani Sikuacha kujipa imani Japo mengi yalinikata maini Nikaliwazua na msondona Uzuri haupotei ramani Ubaya hauvaishwi miwani Nikachoka madongo ya gizani Na mateso ya Sodoma Yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa Yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza Yote sawa, wouuh Yote sawa (Yote sawa)
Writer(s): Faustina Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out