Lyrics

Mikasa leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi Pupupupu, pu pu pu pu, si watu watakufa Sasa mimi mtu kama mimi sina bunduki Na hivyo DCIO GK wakuje watusaidie Si hukam na mamacho dilated Ofcouse utaitana Karao alihate mabro walirelate Ju mabro marijuana Nguna ana fake accent Lakini amejaribu Ka uko na chest pains Wacha tukujibu tunatibu wivu Si hukam na mamacho dilated Ofcouse utaitana Karao alihate mabro walirelate Ju mabro marijuana Nguna ana fake accent Lakini amejaribu Ka uko na chest pains Wacha tukujibu tunatibu wivu Napiga lap Nairobi maithaa mbaya kama helly ya Covid Area code ni maili ya saba android ilipeana mbogi Kikosi haikosi kusambaa panga, ukiresist kwa lobby Shori alitaka namba amezoea kuchimba, kachimbe fossils Walifuatwa kutoka outta Wakamadwa Kagundo Road Mowlem Early sato morning Ali alishtuka Hessy amemoket Spider weapon gun imported we una AK 47 Usipatwe ogopa open naskia kuna msako baada ni saa seven Leo tuko ndani ya keja hatutoki Jeshi iko handas na choki Mblеina alikuliwa toja, toki, talker copper na koti Jeshi ya Koja, tuko Tom Mboya unlеss ni bigi missioni Tourist mwenye aligongwa na hawker akatoboka madollar, sorry Welcome to Nairobi though, chunga pori yoh Giza kwa corridor arif aligeuziwa na morio Android ilipigwa tapo chokoch alichumia Landies Road Si uliambiwa ungafu diro, madam huku hatuko Otedo Si hukam na mamacho dilated Ofcouse utaitana Karao alihate mabro walirelate Ju mabro marijuana Nguna ana fake accent Lakini amejaribu Ka uko na chest pains Wacha tukujibu tunatibu wivu Si hukam na mamacho dilated Ofcouse utaitana Karao alihate mabro walirelate Ju mabro marijuana Nguna ana fake accent Lakini amejaribu Ka uko na chest pains Wacha tukujibu tunatibu wivu Chuom tunashinda zimecrome na makiller Anti terror unit si wanajua Munga ni pro-man a Driller Tortoise amphibian ni chura Bony and Clyde tuvamie mashuttle Ujue ka ulinitusi we ndo fala msee Juzi nikidandia masacco Facebook ni Freemode Usiongelelee air pros Kama hujai oganga na Omo ama ujipake Kimbo Usiniambie about struggle Tumeosha kuzoza labda uume mboch Umenyonga monkey na uko lockdown Mpaka umechoka Mtaani ni gang run, ukishukiwa ni unyurie Kuna siku Munga nilitry kutetea msee Huyu ameshikiwa bure Fuck it pingu zililand mi nikafungwa shoe lace Kwa kina snitch tulibisha Anadai angejisqueeze na dirisha Ngeus alidhani tumechat tangu mchana Amenikalisha mi nashikisha Fans KOT wanadai kuskia Miracle baby alidare This is unfair, shori alikujia kuni After ashakukula fare Hii raha ina Corona, nmasuti and tie Mradi koroga na different supplier Si hukam na mamacho dilated Ofcouse utaitana Karao alihate mabro walirelate Ju mabro marijuana Nguna ana fake accent Lakini amejaribu Ka uko na chest pains Wacha tukujibu tunatibu wivu Si hukam na mamacho dilated Ofcouse utaitana Karao alihate mabro walirelate Ju mabro marijuana Nguna ana fake accent Lakini amejaribu Ka uko na chest pains Wacha tukujibu tunatibu wivu Pullup kwa nduthi, pah pah pah Of course ni mchana Victim alikuwaga mrahisi kuonekana Ju anapenda fashion sana Mi na ex-boss wangu tulishakosana Of course nilimsanya Bro ni Samurai jack akishika panga Manze ni costume hana Si guam tumepiga tukisababisha Mpaka machuja zinatupa We umekwom na manigga ati kunitisha Na mi nimekuja na msupa Kuona maziwa tunafanikisha Nyama tunakula na mfupa Ndom naririma, jaba nashikisha Pombe tunaikunywa kwa chupa Kukuja mnakuja manze na mi sitatambua Juzi mbang'a angenisare but Nilimuuliza malaya unanishika unanijua Uliza Munga avocado zetu ukifinya unanunua Napuliza gunga sababu tosha Nipe Mola hii sifa na dua Vibe iko sure, hii ndo masaa ukinicall niko mteja Hustahili kuzua Mi na budako hukunywa busaa na huko Kakamega Hii kelele iliwalemea Ndio maana mliamua kuilenga Kiterere nikiteleza na rende Lazima kutesa Si hukam na mamacho dilated Ofcouse utaitana Karao alihate mabro walirelate Ju mabro marijuana Nguna ana fake accent Lakini amejaribu Ka uko na chest pains Wacha tukujibu tunatibu wivu Si hukam na mamacho dilated Ofcouse utaitana Karao alihate mabro walirelate Ju mabro marijuana Nguna ana fake accent Lakini amejaribu Ka uko na chest pains Wacha tukujibu tunatibu wivu
Writer(s): Alex Kimani, Churchill Mandela, David Munga, Salim Tangut Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out