Lyrics

Washa kitu Washa kitu manze Washa kitu Washa kitu manze Tunajipuliza puliza Si tunajipuliza Puliza puliza Si tunajipuliza Tunajipuliza puliza Si tunajipuliza Puliza puliza Si tunajipuliza Ukinicheki cheki mi studio utanipata Just feeling the vibe nikisahau disaster yeah Nikiroll kitu no bush hapa ni shasha Hebu nipe sanda na utayarishe kilighter yeah Skankin sweet We kula kitu weka kando shida zako zote za siku jah Feel aire Tembeza kitu weka bundle we skizia mziki mzuri jah Kula weed si lazima uwe natti Jani dawa nzuri sio mihadarati Cancer ukitafuta kwangu huipati Vile zimeshika zimecatchy catchy Kula weed si lazima uwe natti Jani dawa nzuri sio mihadarati Cancer ukitafuta kwangu huipati Vile zimeshika zimecatchy catchy Washa kitu Washa kitu manze Washa kitu Washa kitu manze Tunajipuliza puliza Si tunajipuliza Puliza puliza Si tunajipuliza Tunajipuliza puliza Si tunajipuliza Puliza puliza Si tunajipuliza Cannabis sativa Cheki jicho nyanya limeiva Kula ngwelo vela kula weeda Steam kama fever Moshi ju ya hewa ni ya ngida Bila shakes form ni mambichwa Hapa fully shashamane kama nyaru du Shada kwa mabraza na masistadoo Ka we ni ganja man hapa ni moshi tu Ukishikwa na mamunchies kula mawaruu Kula weed si lazima uwe natti Jani dawa nzuri sio mihadarati Cancer ukitafuta kwangu huipati Vile zimeshika zimecatchy catchy Kula weed si lazima uwe natti Jani dawa nzuri sio mihadarati Cancer ukitafuta kwangu huipati Vile zimeshika zimecatchy catchy Washa kitu Washa kitu manze Washa kitu Washa kitu manze Tunajipuliza puliza Si tunajipuliza Puliza puliza Si tunajipuliza Tunajipuliza puliza Si tunajipuliza Puliza puliza Si tunajipuliza
Writer(s): Iddi Hemed Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out