Lyrics

Navyoridhika nikikuona Napokuona utamu wa moyo Kama maradhi mi napona Nikikuona umekuchagua moyo Maneno yangu uliyaamini Hukuenda popote uliridhia sawa Hukusikizaga wahuni Ukawaacha hao wote ukaniona sawa Baby lemme love you, (Love you) I cannot do without you, (Without you) Hili pete ishara I love you, (Love you) Uwe na jina langu My bae, my bae, my bae Ushaniteka teka moyo wangu My bae, my bae, my bae Na ni furaha wewe kuwa wangu Ashajulikana, ashapatikana Ashajulikana, yeye ndio wangu Ashapatikana, ashajulikana Ashajulikana Mimi nawe ndio twajua Kile tunacho ndani So baby come and give me your love Mi nishakueka moyoni Uazazi wangu wako waone nikikuchukua (Chukua) Ukinijia wakupambie kwa maua Machozi ya furaha laiti ungejua, (Ungejua) Twakata keki leo twajishaua Baby lemme love you, (Love you) I cannot do without you, (Without you) Hili pete ishara I love you, (Love you) Uwe na jina langu My bae, my bae, my bae Ushaniteka teka moyo wangu My bae, my bae, my bae Na ni furaha wewe kuwa wangu Ashajulikana ashapatikana Ashajulikana yeye ndio wangu Ashapatikana, ashajulikana Ashajulikana
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out