Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Roma
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdullah Ibrahim
Songwriter
Lyrics
Instrunmental Tongwe records Bin laden (
Oooooh) Geof master (ooooh)
Wengi mlijiuliza walioniteka ni maaskari Mkanitafuta vituo vyote
Central hadi Sitaki shari Wakasema
Hawajui nilipo mama alienda hadi mortuary (dah!!)
Ya Kaisari muachie Kaisari,
Machozi yenu yatalipwa mi nafunga na kusali... (
Imba Roma imba, imba Roma imba, imba Roma imba) Mungu wa Paulo,
Ndo Mungu ungu wa Daudi,
Na ndo Mungu wa John mnaemuita Yohana wayahudi
Mwanangu alimuuliza mama baba lini atarudi Na mke wangu aliwaliza
Kuwashukuru sina budi Fahamu ya kuwa mi sio tu rappa,
Mi ni baba wa familia Na watoto
Mahitaji nawapa kama isemavyo biblia Kipi bora?
Nife mseme nilikufa kiharakati?
Siogopi kufa, ila nawaachaje wanaobaki?
Je, nani kati yenu mwanangu atampa malezi?
Wapi atapata mahitaji, wapi atapata mapenzi?
Mama nae wapi atapata mahitaji na malezi?
Na ripoti ya upelelezi vipi akiiteka mtekaji?
Je kaburi langu mtalipalilia majani?
Nimeumwa hamjakuja niona mnangoja mje msibani
Nilipokuwepo sikuwa najua hii saa nne, hii saa nane
Nilichohitaji nitoke mzima na ndugu zangu tuonane Nimechapwa mijeredi,
Nimevunjwa bila huruma Asante mliopaza sauti nmeiona nguvu ya umma
Siku tatu nimefungwa macho mikono Imefungwa nyuma (mikono
Imefungwa nyuma) Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee.
Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee.
Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee.
Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee.
Imba Roma imbaaa, eeeh Roma, sema baba weeeh
Nasimama na naunga hoja kwenye uchumi wa
Viwanda Nanasi linaoza Msoga tikiti linaoza shamba
Waloniteka hawakuja na Noah,
Ni uvumi na visanga Ila kutekana tekana huu ni uhuni wa kishamba Weka
Bunduki chini si tubishane kwa hoja Maana sote lengo letu kuijenga
Tanzania moja Mi sikuona nyota kwa shoulder ila najua we
Ni soldier Inshaallah, ulikuja mwenyewe au ulipewa order?
Aminini siku hazigandi,
We ni Yanga mi Simba
Kuwa mpinzani sio dhambi
Ipo siku mtawala atakua mpinzani
Simba akichukia kombe sijui atapona nani
Na kuna mbunge alisema eti nimemtukana mkuu
Utahukumiwa na mkono wa Mungu
Namshitakia alie juu Kwanza lini na kwann mi nimtukane mjomba Umepewa
Gari ya wagonjwa mi tanga ananijengea bomba Mi mbarikiwa na Nikifa
Kuume kwa baba ntaketi Na mtu wa watu that's why lilisimama bunge la
Bajeti Kunijadili mtanzania kuwa makini pia Makinikia nayatungia
Mapini pia Nilitabiri utaitwa raisi kipindi unaitwa waziri Japo
Maisha sio rahisi ila pongezi unastahili Na waliosadiki Roma
Ataonekana kabla ya Jumapili God bless imetimia injiri
Niliyoitabiri Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee.
Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee.
Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee.
Nakwenda Zimbabwe, simama iyelele mama wee.
IMBA ROMA.
Eeeeeeh Roma, simama simama Oyoyoyo eeeeeh Roma,
(Sema baba wee) Iyelele mama wee, wee nakwenda...
Wee Zimbabwe Iyelele mama wee, mama wee Ooooh
Lyrics powered by www.musixmatch.com