Listen to Kibamia (feat. Maua Sama) by Rostam

Kibamia (feat. Maua Sama)

Rostam

Hip-Hop/Rap

Music Video

Rostam Ft Maua sama - KIBAMIA (Official Video) Sms 7974248 to 15577 Vodacom Tz
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rostam
Rostam
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boniface Kabogo
Boniface Kabogo
Composer
Ibrahim Musa
Ibrahim Musa
Songwriter

Lyrics

Oho uh yeh yeah Sama Roma Roma Stamina Stamina (kill record) Oh uh oh yeah yeah It's Rostam baby (mbea) Nimpende nani kati ya Roma au Stamina (oh uh oh) Huku ama kule pananchanganya like (oh uh oh) Nani ana faa la kwenye kitanda atanipa raha yeah Sitaki kibamia, mwanaume mashine yeah Yow, wape habari shoga zako mi na wewe mpaka kifo Mi ndo kakako na wako Usisite kunipa jicho na Sitokupa talaka bila shaka unanifaa Nikipiga shuti unadaka gizani bila ya taa mama Acha maringo maa Usiombee nkupate Mi ndo kisiki cha mpingo na Gusa unase Niliyowaangusha juu ya ulingo walinipa asante Nkiwachapa walishika fimbo na kuipakapaka mate Nikikuona napata mzuka naruka nagaragara Mama ukitakapeku ntatupa mpaka na ndala Sio lazima uwe na chura kuumba ni kazi ya maulana Kwakuwa sina safura chumvini ntazama sana Ah, niikuhonge mali basi zidisha utungu Nipe michezo hatari ninyonye mpaka-(Roma ma) Mixa kabali na shingo chini ya uvungu Na unapolala chali ndo wanantoka wazungu Nimpende nani kati ya Roma au Stamina (oh uh oh) Huku ama kule pananchanganya like (oh uh oh) Nani ana faa la kwenye kitanda atanipa raha yeah Sitaki kibamia, mwanaume mashine yeah We ndo pumzi yangu mama Tena ntandanja We ndo mjuzi wangu kifaa We ndo kiwanja Napiga milusi kama kichaa iliyekula ganja Nipe nichane nyuzi nikandamize kama masanja Siitaji mchuzi wa pweza Tukiwa chumbani Wala mtongo wa mzee teza sitoutumia hakiyanani Nitakupa mapenzi na kila kitu utakacho Ila nyumba na benz kiukweli vianitoa jasho Achana na huyu mliguru njoo kwangu nikusitiri Hafugiki ka kunguru So jaribu kufikiri Maana umepewa uzuri ila Bila akili ni sifuri Na zitakazoumia ni sehem za (siri) Achana na huyu Mdigo asiyejua maana ya kupenda Mama Ivany mwenyewe kamchoka anataka kwenda Sina kicheche cha kando wewe kwangu ndo bao la ushindi Mama mwanaume mipango mashine yaachie mahindi Nimpende nani kati ya Roma au Stamina (oh uh oh) Huku ama kule pananchanganya like (oh uh oh) Nani ana faa la kwenye kitanda atanipa raha yeah Sitaki kibamia, mwanaume mashine yeah Oh yeah Uh baby, uh baby, baby baby Nimpende nani, nimpende nani Let's take over the game
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out