Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Chin Bees
Chin Bees
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mussa Ramadhani
Mussa Ramadhani
Songwriter

Lyrics

Basi fanya kama unagusa ... Basi fanya kama unagusa ... (Basi fanya kama unagusa ...) Unavyo whine my love you drive me crazy Unavyo panda na kushuka girl you blow my mind eeh Kona zote zimenibamba kwa manjegeka mpenzi Usije ukaniyeyuka kisa money baby (Mercy na Liwashi mtanicheka) Basi fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Baby umenibamba Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Beiby umenibamba Ah tapaka chini girl, hakuna ubaya mammy waonyeshe umbo la kiroho mbaya Unakata kata mpaka Bees na-retire Miko ya kikonkodi mama uko fire Na unavyo nyumbulika uko flex yeah yeah Mpaka mtu mzima anasimama dede Kwako mami ndo nishatuliza pepe Kwako mami ndo nishatuliza Basi fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Baby umenibamba Basi fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Baby umenibamba Girl unanipa vitu moto moto ambavyo sijawahi pewa before Namu nilishadata kwako so mpenzi usinirushe roho Baas fanya kama unagusa, kivyovyote ruksa Baby bend down, na ufanye kama una susa Kwako nishapepeta mazima mami uya Kwako nishapepeta mazima mami uyee Basi fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Baby umenibamba Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Baby umenibamba Mami nyumbulika, nyumbulika kama ni shughuli mami shughulika Nyumbulika, nyumbulika kama ni shughuli mami shughulika Nyumbulika, nyumbulika kama ni shughuli mami shughulika Nyumbulika, nyumbulika kama ni shughuli mami shughulika Basi fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Baby umenibamba Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Fanya kama unagusa gusa gusa Baby umenibamba Girl unanipa vitu moto moto ambavyo sijawahi pewa before Namu nishadata kwako so please usinirushe roho
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out