Lyrics

Kisha nikaona mji mtakatifu yerusalemi ukishuka kutoka mbinguni Ukiwa umeandaliwa kama bibi harusi aliyepambwa kwa bawana wake Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema Tazama maskani ya munugu i pamoja na wanadamu(×2) Refain Atafuta machozi yao yote, na kifo hakitakuwepo tena Maana mmbo hayo yote ya awali yamekwisha toweka Mji ule utashuka kwa maandhari makuu yesu akiwa ni kiongozi Tarumbeta zikipulizwa kwa ustadi mkuu Kisha nikaona kiti cha enzi kikubwa cheupe na yeye aketiye juu yake Ambaye nchi na mbingu zinakimbia uso wake, mahali pao hapakuonekana Nikaona wafu wakubwa wadogo mbele yake vitabu vyote vikafunguliwa Tazama wakahukumiwa sawasawa na matendo yao
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out