Listen to Cheki by Ssaru

Cheki

Ssaru

Hip-Hop/Rap

1,633 Shazams

Lyrics

Cheki venye mi natafta ganji Cheki venye naogopaga bangi Cheki Mungu ananipakaga rangi Swaga ni lit na taste ya Manji Cheki na, cheki na Cheki naroll na chali mhandi Cheki naroga utadhani ni Khali Cheki nazoza Ssaru ni mkali Cheki na, cheki na Cheki nadunda nadunda napaa Cheki mabunda mabunda hapa Cheki naringa naringa hapa Cheki na, cheki na Cheki nadunda nadunda napaa Cheki mabunda mabunda hapa Cheki naringa naringa hapa Ona naseti nameditati Pesa ni mingi ziko kwa kibeti Hizo ndo ziufanya mnaheti Nyi mmesimama mi nimeketi Nyi ni machura Ssaru ni keki Mkninipa kura mi nitakuseti Ka niko real sitaki ufeki Niko na beef si cheki namake it Cheki na, cheki na Cheki naroll na kina Vigeti Niko na doh na mi sina vyeti Niko na ball nilitoa Imеnti Niko na goals za kubuy jeti Nilibuy keja silipagi renti Wе ni wa kando mi ni ndio Mainchic Unawekwa box za kuku za Kenchic We ni kazuri na mi niko hectic Mi niko fulli na hizo testkit Hii ni kaburi na hii ni deadbeat Ninaimada natupa kwa septic Cheki vile mi nakulanga hepi Mi niko real sijawai feki Life ni ngumu na yangu ni fancy Kwenu ni sumu na kwangu ni healthy Cheki venye mi natafta ganji Cheki venye naogopaga bangi Cheki Mungu ananipakaga rangi Swaga ni lit na taste ya Manji Cheki na, cheki na Cheki naroll na chali mhandi Cheki naroga utadhani ni Khali Cheki nazoza Ssaru ni mkali Cheki na, cheki na Cheki nadunda nadunda napaa Cheki mabunda mabunda hapa Cheki naringa naringa hapa Cheki na, cheki na Cheki nadunda nadunda napaa Cheki mabunda mabunda hapa Cheki naringa naringa hapa Nitaretire msiponi hire Mi nacheki mnagwaya gwaya Mtarequire tu kunicheza Ju mi najua hii ngoma ni fire Sio kinaya jo mi natesa Bars ni zile mbaya mbaya Zingine fire fire Kaeni rada jo ni kubaya We promoter usinilipe vibaya Mi ni Ssaru wa manyaru kabaya Nitapiga shows jo mpaka Ulaya Utabaki hapo juu ya roho mbaya We uko chini mi niko higher Haya kafiri huoni haya Liar huaminiki we liar Mi nimejam ju inaniuma mbaya Nyi msiposema nitaisema na ubaya Natoanga stress na ngoma za haya Nitaleta ingine moja jo ya choir Ju mi ni ngori mimi ni wire Mi siko sorry usiniite shawri Venye nacheki unataka ka story Nimetoka jiji ndo nihepe ngori Nyi mko tao mi niko kwa pori Cheki venye mi natafta ganji Cheki venye naogopaga bangi Cheki Mungu ananipakaga rangi Swaga ni lit na taste ya Manji Cheki na, cheki na Cheki naroll na chali mhandi Cheki naroga utadhani ni Khali Cheki nazoza Ssaru ni mkali Cheki na, cheki na Cheki nadunda nadunda napaa Cheki mabunda mabunda hapa Cheki naringa naringa hapa Cheki na, cheki na Cheki nadunda nadunda napaa Cheki mabunda mabunda hapa Cheki naringa naringa hapa Mi ndo Ssaru na nimejaa mori Roho ni ngumu we cheki kwa mboni Hata kwa rodi sipigangi honi Mi nakuona ni wee hunioni Hawa marapper wote nawahshine-ia Ka ni lesson mi nitakufunza we here Sipeanangi notice jo mi nakuvamia Ata usipo open buda mi nitaingia Tangia zamani mi nakuvunjia Time ya maganji ndo hii imekam near Fam ya warazi ndo hii imekam here Rada ni chafu so buda we fagia Ndo nimefika na napiga kambi Kwa matajiri tu wenye kitambi Hapa sitoki bila hizo ganji Hapa sitoki bila hizo ganji Cheki venye mi natafta ganji Cheki venye naogopaga bangi Cheki Mungu ananipakaga rangi Swaga ni lit na taste ya Manji Cheki na, cheki na Cheki naroll na chali mhandi Cheki naroga utadhani ni Khali Cheki nazoza Ssaru ni mkali Cheki na, cheki na Cheki nadunda nadunda napaa Cheki mabunda mabunda hapa Cheki naringa naringa hapa Cheki na, cheki na Cheki nadunda nadunda napaa Cheki mabunda mabunda hapa Cheki naringa naringa hapa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out